
Hawa Jamaa hata Huruma hawana
Vijana wa Swansea hakuweza kuwa hata na huruma kwa mtu aliyewalea mara baada ya kuwatandika Liverpool mabao 3-1 katika mchezo wa kombe la ligi lijulikano kwa jina maarufu kama Capital One Cup katima mchezo uliochezwa jana usiku katika uwanja wa nyumba wa Liverpool, Anfield.

Post a Comment