Polisi wamedai itakuwa ni vigumu tena kuupata mwil wa mtoto wa miaka nane 8, April Jones kwa kuwa kuna uwezekano mwili wake ukawa umezolewa na wingi wa maji kuelekea bahari ya Irish kutokea mto Dyfi.

April aliyeripotiwa kupotea taokea tarehe 1 mwezi huu wa kumi tok kitongoji cha Machynlleth baada ya mvua kubwa kunyesha. wazazi wake nbado hawajaka tamaa katika kumtafuta binti yao na wamekuwa wakiutumia mtandao wa jamii " Facebook" katika kuwaomba watu waendelee kumtafuata, "Coral, 40, pleading on Facebook for people to “plz plz keep looking for her”. She added: “ive not given up hope as they not found her body.”


April Jones
Binti  aliyeripotiwa kupotea siku 8 zilizopita, April Jones 8. photo by thesun.co.uk




Scuba divers
Wapiga mbizi wakiwa katika jitahidi za kumtafuta April katika viungavya mto Dyfi, photo by thesin.co.uk



the source by thesun.co.uk










































































Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.