Maonyesho ya bidhaa kutoka Syria yalionza mjini Dar es Salaam kuanzia tarehe 28 Septemba mwaka huu na kufikia kikomo siku ya jana ya sherehe ya kukumbuka kifo cha baba wa TAifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Maonyesho hayo yalishirikisha watu na vikundi mbalimbali toka nchini Syria na siku mara ya kwanza kufanyika nchini huwa yanafanyika mara kwa mara..
Zifuatazo ni baadhi ya picha wa wakzi wa Dar es Salaam wakiwa katika hekaheka ya kutembela maonyesho hayo.
|
Baadhi ya wakazi wa Dar es Salaam wakiwa kwenye siku ya mwisho ya maonyesho hayo, picha na Damas Makangale |
|
Watu kama hawa wanawaza watapata wapi tena tenda la kulinda magari yaliyokuwa yanakuja kwenye maonyesho haya. |
|
Pilipila za maonyesho hazikuwa ndani ya mbanda tuu hata nje ya mabanda kama walivyokutwa wachuuzi hawa wa bidhaa za Bakhresa na blogeer wetu Damas Makangale |
|
Kila mtu akijatihidi kupata bidhaa zitakazokizi mahitaji yake |
|
Mapambo ya nyumbani madhubuti yaliokuwa ni moja ya bidhaa zilizovutia umati wa watu katika mabanda hayo |
|
Moja ya Bidhaa |
|
mapambo ya foronya za sebule yalikuwa ni kivutio tosha kwa wakazi wa jiji |
Post a Comment