Klabu ya Blackburn Rovers inayoshiriki ligi daraja la kwanza nchini Uin gereza maarufu kama Cocacola Championship iko mbioni kuannzisha mazungumzo na kocha huyo wa zamani wa Tottenham ili kuchukua mikoba iliyoachwa wazi na Steve Kean. 

Mshauri wa mambo ya biashara Shebby Singh na Mtendaji mkuu wa klabu hiyo,  Derek Shaw inasemakana washapanga kukutana na kocha huyo juu ya uwezekano huo.

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.