Louis Suarez amemjia juu bosi wa FIFA, Jim Boyce akimtaka kujua yeye ni nani mpaka amtuhumu ya kwamba yeye ni mmoja wa wachezaji wanaopenda kuwandanganya marefa kwa kujiangusha hovyo ili wapewe penati.
 
Suarez aliendelea kudai huyu mtu ni nani , " Simuelewi kwa nini huwa ananiongelea mimi. Akaenda mbali akidai huyu mtu hafahamiki na anachokifanya kwa sasa ni anatafuta kufahamika katika jamii...Tumwache aendelee kuongea ila kazi yangu mimi ni kucheza mpira na nitaendelea kujitahidi zaidi katika mchezo wangu.































Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.