Wayne Rooney leo anategemewa kuwa nahodha wa mchezo wa kufuzu kucheza kombe la dunia dhidi ya San Marino na hii inatokana na kuwa Steven Gerrad atakuwepo kwa kutumikia adhabu na msaidizi wake Frank Lampard kuwa majeruhi. Rooney amewahidi mashabiki leo atakuwa na ndihamu kwa sababu ameshakuwa mtu mzima sasa kama mchezaji.
Rooney hapa akiwajibu mashabiki Uingereza kwa kuwazomea mashabiki kwenye kamera mara baada ya kutoka 0-0 na Algeria mnamo mwaka 2010 kwenye mashindano ya kombe la dunia. Photo by www.thesun.co.uk
Rooney akionyeshwa Kadi Nyekundu dhidi Ureno mnamo 2006.Photo by www.thesun.co.uk
Rooney akitolewa nje mara baada ya kumfanyia madhambi mchezaji wa g Montenegro Miodrag Dzudovoic, kadi ilimosababisha kukosa mechi mbili za ufunguzi wa Euro 2012.Photo by www.thesun.co.uk
WAYNE Roone akiwa mazoezini jana mara baada ya kutangazwa kuwa ndiye atakayekuwa nahodha wa mchezo wa leo usiku dhidi ya San Marino,Photo by www.thesun.co.uk |
Post a Comment