Rise Up With Success Network is a community of like-minded individuals helping each become financially free no matter what business opportunity we are in. We are taking out the pitching, selling, and doing what doesn't work out of the equation. Join this revolutionary group as we change the way the network marketing industry really works. Inbox me if you're interested.

Mr. Frank I. Chikome akifungua forum katika ukumbi wa mikyano uliopo  Mayfair  Plaza, Picha na Damas Makangale

Mmoja wa wajasiriamali waliohudhuria Forum hiyo Mr. Daniel Alex

Mr. Frank haonekani pichani akijaribu kuwaelezea wahudhuriaji kwa mifano mbalimbali juu ya kuwa mbele katika kuyafanyayale wanayoyaamini kwa kutumia mfano wa mkanda wa picha wa kibonzo cha Pablo na Bruno.

 Ama kweli kila mtu alikuwa msikivu katika kutaka kumiliki biashara  hapa wanaonekana wahudhuriaji wakiwa kimya na makini kufuatilia mafunzo.Picha na Damas Makangale

Mtaalamu wa mambo ya Biashara na fedha Ngugu Paschal Kasela akiwapa wahudhuriaji mafunzo moto namna ya kuwa na uwezo wakuajiri watu 500... Mr. Think Big Business.

Mr. Kasela akiendelea na kutoa mafunzo

Mr. Paschal akijaribu kuelezea mapitio mbalimbali ya mifumo ya maendeleo ya mwanadamu kuanzia na enzi ya Ujima, Utumwa na Ubepari kwa jedwali hili   E- Ajira (Employemnt), B-Big Business, S- Biashara Ndogondogo (Specialist) or Small Business) na I-vitega ushumi (Investments).

Hakika watu walikuwa makini

Siri za mafanikio zipo huku, watanzania tupende kujua uganga wa maeneleo ulipo kwa kusoma vitabu na si kusoma vitabu vya udaku na majarida

Namna ya kupata mtitiriko wa hela   usiokauka na usiosubiri muda wa kustaafu wa miaka 65 mwisho wa ajira.

Ndugu Alphonce Chilato akitoa ushuhuda wa maisha yake kuaznia alipoanza kazi kama afisa bandarini na kuishia hadi kuwa bondia nchini Marekani kabla ya kuja kupata siri ya mafanikio, hakika ilikuwa ni moja ya mafuzno katika maisha yna kama mimi nilijfunza hatutakiwi kukataa tamaa katika maisha yetu

Hakika ilikuwa ni mafundisho, huzuni na burudani kumsikiliza mjasiriamali huyu anayezunguka kila kona ya dunia hii

Hata kumbe Bill Gates anawazia kitu hiki kumbe na yeye anawaza kutumia njia mbadala

Mzee wetu pia Nelson Mandela anamini pia
Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.