Kikongwe cha miaka 80 Bi Margaret toka katika mji wa Rochadale alipiga simu kuhoji na kumtaka kocha wa Manchester United Sir. Alex Ferguson kufikiria upya mtindo wake upya wa uchezaji wa timu hiyo maarufu kama Diamond.

Diamond ni mfumo ambayo kocha huyo ameutumia katika siku za hivi karibuni ambapo timu inacheza pasipo kutumia mawinga wake kama ilivyozoeleweka hapo nyuma., Bi Margaret katika simu alisema amekuwa mshabiki kwa siku nyingi kabla ya Fersuson na hakubaliani kabisa na mfumu huu wa sasa na kumtaka kocha huyo kubadilika kuanzia mchezo wao dhidi ya Chelsea.

Katika kujibu kocha Fergie akasema: " Ni vizuri kutomkasirisha. Umemsikia alichosema katika MUTV? " Ana miaka 80, na amepiga simu kwenye klabu na amesikika akisema nimechoka kuuona mtindo huu wa Diamon." mwambie kocha aache kuutumia mtindo huu  ni bora kutokucheza kabisa kuliko kuutumia..amesikia akisema kikongwe huu shabiki wa maisha wa timu ya United alipopiga simu kwenye uongozi wa timu na akuishia hapo tuu bali aliiuta ni ni wa kipuuzi (Stupid). Naomba auche mara moja kuanzia leo na Chelsea na kama mnataka niongee na kocha niko tayari kufanya hivyo kwani nimeishabikia Manchester United kuliko yeye.. alisikika bibi huyo katika siku ya Alhamisi katika channel ya timu na kuongea na wachezaji wa zamani  United, David May na Quinton Fortune.

Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.