Kocha mkuu wa Arsenal, Arsene Wenger amesema ya kuwa kwake yeye mchezaji bora wa mwaka huu ni Michael Carrick na sio Robin Van Persie.

Kocha huyo hakuishia hapo kusema tuu kuwa Michael Carick ndiye anyefaa kuwa mchezaji bora wa mwaka bali pia alisema ya kuwa uwa anaweza pia kuingizwa kwenye kikosi cha timu ya Barcelona na kuendana vyema na mfumo wa timu hi inayotegemea muda wowote kutangazwa mabingwa wa Ligi kuu ya Uhispania.

Manchester United's Michael Carrick
Kiungo wa Mancheter United, Michael Carick

Pamoja na kwamba magoli 24 aliyoyafunga Robin Van Persie katika msimu huu yaliyachangiwa kwa kiasi kikubwa kuwapatia Manchester United ubingwa wao wa 20 wa Ligi kuu ya Uingereza, kocha huyo amesema angependelea kuona Chama cha muungano wa wachezaji wa kulipwa (PFA) wakichamchangua kama mchezaji bora katika mwishoni mwa msimu.

Bingwa wa kupiga pasi (Pass Master) , Michael Carick katika mojawapo wa shughuli zake dimbani
Key man: Carrick (right) has started 47 of United's last 48 league games




Michael Carrick of Manchester United




















Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.