Pichani zinazofuata hapo chini ni za ndege za kivita zikifanya maonesho katika Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam leo kwenye sherehe za maadhimisho ya miaka 49 ya Muungano.
Ndege zenye renye rangi ya manjano zinazomwaga rangi za bendera za Taifa ni ndege za mafunzo.
Ndege zenye rangi ya kijivu ndizo za kivita.
![]() |
(picha hi na zilizopachikwa hapo chini via Issa Michuzi) |





Gwaride la majeshi na maonesho ya ukakamavu wa vijana wa halaiki




Source by www.wavuti.com
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.