Inawezekana Manchester United ikatangazwa mabingwa leo usiku endapo itaifunga timu ya Aston Villa katika uwanja wake wa Old Trafford hii ni baada uya mahasimu wake wakubwa timu ya Manchester City kukubali kipigo cha mabao 3-1 toka kwa Tottenham Hospursd jana jumapili.

Endapo Manchester United itashinda katika pambano lake la leo usiku katika majira ya nn usiku 4;00pm dhidi ya Ston Villa timu ya manchester itafikisha jumla ya pointi themanini na nne (84) ikiwa ni mbele ya pint 16 dhidi ya Man City ambayo hata kama mechi zake zote zilizosalia itafanikiwa kufikisha jumla ya point 83 ambazo zitakuwa zimeshapitwa na Man united. Kwa sasa Man City wana jumla ya point 68 mara baada ya mchezo wao wa jana.

Wakati huo huo meneja wa Mashetani hao wekundu, Sir Alex Ferguson ametabanaisha ya kwamba kikosi hiki cha sasa ni bora zaidi kati alivyojaliwa kuwa navyo itakumbukwa mwaka 1999 walivyofanikiwa kushinda mataji matatu (Trebble) walifanikiwa kukusanya point 79 kushinda ligi, na mwaka 1997 walishinda kwa point 75 na pia point 91 na kama wakishinda michezo iliyobakia watakuwa na jumla ya pointi 96 ndio maana anachukulia kama kikosi bora kabisa.  


Liverpool 2 Chelsea 2

 Luis Suarez equalises in the dying seconds



Tottenham 3 Manchester City 1

 Gareth Bale bags Tottenham's third goal


Fulham 0 Arsenal 1


Per Mertesacker celebrates


Queen Park Rangers 0 Stoke City 2

 Peter Crouch celebrates



Sunderland 1 Everton 0

 Paolo Di Canio celebrates as a dejected David Moyes turns away after Stephane Sessegnon's goal















































 
Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.