Kocha mpya wa Mabingwa wa Uingereza aliyetangazwa jana kuchukua mikoba ya kocha wa sasa Sir Alex Ferguson ambaye ametangaza kungatuka klabuni hapo mwishoni mwa msimu huukapo mwisho wa msimu huu.
David Moyes ametanabaisha nia yake ya kuwaleta Old Trafford wachezaji aliokuwa anafanya nao kazi akiwa Everton , Leighton Baines na kiungo mchezaji Maroune Fellain ,kwa wale wanaofuatilia ligi ya Uingereza mchezaji mwenye nywele ndefu kuliko wote katika ligi hiyo.

David Moyes akiwa na Maroune Fellain

David Moyes akiwa na Leighton Baines
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.