Kocha mkuu wa MAlaga na Raia wa mexico Manuel Pellegrini amesema ya kuwa mwisho wa msimu huu ataongeza mkatana wa keuendelea kuifundisha klabu hiyo ya Uhispania.

Itakumbukwa ya kwamba tangia kocha mkuu wa Manchester City afukwe kazi kazi klabuni kumekuwa na tetsi nyingi kutoka vuombo mbalimbali vya habari duniani ya kwamba Manuel Pellegrini ndiyo atakayekabidhiwa mikoba ya MAncni ingawa ameshakanusha lakini kwa kitendo hiki cha kutangaza kubwaga manyanga ni dhahidi ya kwamba ndiye atakayekuwa mridhi wa Roberto Mancini.


Manuel Pellegrini

Kocha mkuu wa timu ya Malaga, Manuel Pellegrini


































Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.