Mpambano wa mahasimu wawili wa jadi katika soka la Tanzania Simba na Yanga, alimaarufu kama Dar es Salaam Derby umeishia kwa timu ya soka ya Yanga kuibuka na ushindi wa mabao mawili 2-0 dhidi ya Simba watoto hao wa msimbazi.

Kwa ushindi huo wa timu Yanga yenye makazi ya katika viunga vya mitaa ya twiga na jangwani katika jiji hili la Dar es Salaam,  umewezesha timu hiyo kutia sukari ya furaha katika kusherekea ubingwa wake katika ligi hiyo kwa kufanikiwa kulitwaa kombe hilo kwa mara 24 katika kumbukumbu zake za soka la Tanzania.




Kocha mkuu wa Simba akiwapungia washabiki wa timu yake



Umati mkubwa wa mashabiki wa Yanga waliohudhuria mpambao wa watani hao wa jadi katika soka la Tanzania.




Hakika ni furaha kubwa kwa mashabiki wa Yanga kuna wengine walikuwa na siku yao ya kuzaliwa na kuamua kuiazimisha kwa staili hii








Nahodha wa Yanga , Nadir Haroub almaarufu kama  Canavaro akinyanyua juu kwa furaha kombe la ubingwa wa bara kwa msimu wa 2012/2013


shamrashamra za ubingwa zikiendelea kupamba moto huku zikichagizwa na ushindi wa 2-0 dhidi ya wahasimu wao wakubwa wa jadi, Sima sports club



Timu ya Simba iliyopambana na timu ya Yanga katika picha kabla ya mpambano huo kuanza hiyo jana


kocha mkuu wa Yanga , Ernst Brandts akijadiliana jambo na msaidizi wake Felix Felix Kataraiya Minziro mjuzi na mtalaamu wa kupiga mipira ya banana chocks enzi zake akiwa kama mchezaji wa timu hiyo.








Kocha mkuu wa Yanga, Ersnt Brandts akifuatilia jinsi mambo yalivyokuwa yakiendelea uwanjani kwa tabasamu kubwa .


 Baadhi ya picha kwa hidhani ya blogu ya www.shaffihdauda.blogspot.com
















































































































































Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.