Timu ya Real Madrid ya Uhispania imepatwa na kigugumizi cha nani asajiliwe na nani aachwe baina ya wachezaji wawili mahiri kwa sasa katika ligi kuu ya Uingereza, Gareth Bale na Louis Suarez wa Liverpool.
Lakini kuna habari ambazo hazijadhibitishwa endapo timu hiyo iliyo mbioni kumchukua Carlo Ancelloti kurithi mikoba iliyoachwa wazi na Jose Mourinho aliyeamua kurudi timua yake ya zamani ya Chelsea kuwasajili wachezaji wote hao wawili.



Post a Comment