Mabingwa wa kombe la Europa timu ya CHELSEA ya mjini Londo, ina mpango wa kukubali kiasi cha  £ 30million  kwa timu yeyote itakayokuwa inamuhitaji mshambuali wake aliyeshindwa kuonyesha dhamani ya ada iliyolipwa  kwa Liverpool ya Paundi milioni 50.

Chelsea wanataka angalau kupunguza gharama ya ada ya ada ya uhamisho waliolipa, mchezaji huyo msimu amefanikiwa kufunga magoli 22 ambayo ndio rekodi yake tangia ahamie hapo na itakumbukwa kwenye Ligi ana magoli 7 na mara ya mwisho kufunga katika ligi ilikuwa katika mchezowao dhidi ya Aston villa mnamo mwezi wa December 2012.


Fernando Torres mchezaji wa mabingwa wapya wa kombe la Europa, Chelsea

























































Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.