Aliyekuwa Rapa wa kundi maarufu katika miaka ya tisini   Kris Kross, Rapa Kris Kelly amaefariki dunia kwenye hospitali ya  Atlanta jana jumatano mara baada ya kufikishwa hapo ikiaminika ya kuwa alizidisha dozi ya dawa alipokuwa nyumbani kwake majira ya saa kumi na nusu jioni kulingana na habari kupitia vyombo husika. Hadi kufikiwa na mauti Kris alikuwa ana miaka 34.

Hadi habari hii inatoka hakuna habari maalumu kuhusiana na kifo chake na uchunguzi zaidi ulikuwa unaendelea.

 Kelly aliyejulikana pia kama " Mc Daddy" na mwenzake Chriss Smith aliyejulikana pia kama , "Dadd Mac" waliibuka kwenye anga za mziki kupitia kwa mtayarishaji maarudu Jermanie Dupri na hii ni mara baada ya kuona vipaji vyao akiwa Atlanta Mall (Maduka Makubwa ya Biashara) jijini Atlanta. mnamo mwaka 1992.

Wawili hao waliokuwa wanavaa nguo zao kinyume na inavyopaswa kuvaliwa alifanikiwa kuuteka ulimwengu kupitia staili ya rapu zao walizokuwa wakiimba mfano mmojawapo kupitia wimbo wa "Jump Around".

 Kris Kross FilmMagic
 waliokuwa wanaunda kundi la Kris Kross.

Picha na habari kupitia mtandao wa Yahoo.



























































 


Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.