Gareth Bale jana alifunga goli lingine zuri sana na kuzidi kuhuhidhirishia ulimwengu wa wapenda kabumbu duniani ya kwamba tuzo alizozipata msimu huu hazikuwa za kubahatisha na kama kuna mtu anahisi kapendelewa ajaribu kufikiria tena wazo lake hilo kabla ajajipa majibu ya jumla.

Mchezaji huyo jana aliifungia timu bao muhimu katika mchezo wao na timu ya Southampton na kufanya mbio za kuwania nafasi ya nne kushika kasi dhidi yao wao na Chelsea na Arsenal.

Gareth Bale
Gareth Bale akiwa ndani ya jezi ya timu yake ya Taifa, Wales


GOLDEN BALES ... Gareth Bale celebrates his winner





















































Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.