Hatimaye zile tetesi na mafumbo jana yaliteguliwa na kuwa habari rasmi kwa kocha aliyekuwa ametabanaisha hataendelea kuiona timu ya Real Madrid, Jose Mourinho kusaini rasmi mkataba wa kitita cha cha dola za kimarekani 40 milioni kwa miaka minne na mabingwa wa Europa , timu ya ya Chelsea uya mjini London.


SPECIAL DELIVERY ... Mourinho will be expected to bring success to Stamford Bridge
Kocha mpya wa mabingwa wa kombe la Europa, Chelsea "The Special One", Jose Mourinho arudi rasmi tena ligi ya Uingereza



Wakati huo huo habari za kusainiwa kwa Mourinho zikiwa zinaendelea , wakala wa mchezaji bora kwa ligi ya Uingereza kwa msimu huu ulioisha ametabaisha ya kwamba mchezaji huyo angependela kucihezea timu ya Real Madrid ambayo imeonyesha nia kubwa ya  kumsajili mchezaji huyo.

Ila ameendelea kwa kusema ya kwamba si timu  Madrid tuu wenye nia hiyo pia vilabu vya Manchester City, Paris St Germany , Chelsea na mabingwa wa Uingereza Manchester United pia wako tayari endapo mchezaji huyo mwenye thamani ya Paundi za kiingereza 80 endapo akiwekwa sokoni kwa kuuzwa na Spurs.




BALE OUT? ... Welshman is in demand














































Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.