Klabu ya Manceshter United imetangaza rasmi ya kwamba Kocha aliyepata mafanikio makumbwa kuliko wote duniani katika ngazi ya klabu, Sir Alex Ferguson 71 atang'atuka mwishoni mwa msimu huu baada ya kuitumia klabu hiyo kwa miaka 27.
Habari hizi najua zitakuwa ni pigo kubwa sana kwa mashabiki wa Mancehster United popote pale duniani kwa sababu zimekuja kama ghfala wakati wakiwa bado wanaendelea kusheherekea taji la 20 la ubingwa wa ligi kuu ya uingereze awalililolipata hivi karibuni angali michezo ikiwa badi ikiwa inaendelea.
All Photos from the www.thesun.co.uk




Post a Comment