Kocha Roberto Mancini wa timu ya Manchester City jana alitolewa nishai kutoka kwa wajina mwenzake Roberto Martinez kwa kukubali kipigo cha bao moja bila majibu na kusabibisha timu hiyo itoke kapa pasipo kikombe chochote msimu pamoja na timu hiyo kujaza mastaa kama Sergio Aguero, Yaya Toure, Carlos Tevez na wengineo wengi tuu.

Maajabu yamezidi kuendelea kuonekana katika michezo hii kwa majina yanaonzia na Roberto, itakumbwa mwaka 2011, timu ya Manchester City ikiongozwa na Roberto Mancini walifanikiwa kutwa kombe hili, mwaka timu ya Chelsea ikiwa chini ya Roberto Di Matteo  na mwaka huu Wigan Atheltic  chini ya Roberto MArtinez imefanikiwa pia kutwaa kombe hili.


LIFT-OFF ... Wigan stars hoist manager Martinez into the air
Wachezaji na Kocha wa Wigan wakiwa wanafuraha kupitia kifani mara baada ya kufanikiwa kutwaa kombe la FA dhidi ya timu matajiri wa Manchester City.




Ben WAtson akishangilia goli lilipelekea kuwapa kombe  wa FA  dhidi ya MAnchester City




























































Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.