Picture
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania na Samsung wakiwazijaribu simu aina ya Samsung Galax S4 iliyosheheni teknolojia mbalimbali za kisasa ,wakati wa uzinduzi wa simu hizo ambapo wateja watakaonunua aina ya simu hizo watapata huduma ya bure ya Intaneti ya (5GB) kwa muda wa siku 30 sambamba na waranti ya mwaka mmoja wa matengezo,simu hizo zitakazokuwa zikipatikana kwenye maduka ya Vodacom nchini.Uzinduzi huo ulifanyika katika duka la Vodacom eneo la Oysterbay jijini Dar es Salaam.


Picture
Meneja Mauzo na Usambazaji wa Samsung Sylvester Manyar (kushoto) akimuonesha mwandishi wa habari wa clouds media Bi.Esther Machangu moja ya teknologia iliyopo kwenye simu aina ya Samsung Galax S4 yenye teknolojia mbalimbali za kisasa ,wakati wa uzinduzi wa simu hizo wateja watakaonunua simu hizo watapata huduma ya bure ya Intaneti ya (5GB) kwa muda wa siku 30 sambamba na waranti ya mwaka mmoja ya matengezo, uzinduzi huo ulifanyika Vodashop Oysterbay jijini Dar es Salaam, Wanaoshuhudia watatu toka kushoto ni Afisa Masoko wa Vodacom Ibrahim Kingozi, Elihuruma Ngowi, Meneja wa Samsung nchini Kishor Kumar.



Meneja wa kampuni ya simu za Samsung nchini Kishor Kumar akiwaonyesha simu aina ya Samsung Galax S4 iliyosheheni teknolojia mbalimbali za kisasa ,Meneja uendeshaji wa maduka ya Vodacom Tanzania Elihuruma Ngowi (kulia) Meneja Mauzo na Usambazaji wa Samsung Sylvester Manyar na Meneja Masoko wa Vodacom Ibrahim Kingozi (kushoto) wakati wa uzinduzi wa simu hizo mpya ambapo wateja watakaonunua aina ya simu hizo watapata huduma ya bure ya Intaneti ya (5GB) kwa muda wa siku 30 ikiwa sambamba na waranti ya mwaka mmoja wa matengezo uzinduzi huo.ulifanyika katika duka la Vodacom lililopo eneo la Oysterbay jijini Dar es Salaam.





Source by www.wavuti.com










































































































































Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.