Wakati Dunia ikiwa ikishuhudia ufalme wa soka wa klabu za Uhispania ukifikia ukingoni kwa timu zao maarufu na iliyokuwa inatajwa kama timu bora kabisa ulimwenguni  timu ya FC Barcelona ikitolewa nje ya mashindano ya klabu bingwa ya ulaya kwa kipigo cha aibu cha mabao  7-0 katika michezo yote miwili ya nyumbani na ugenini na Mabingwa wapya wa Ujerumani, timu ya Bayern Munich .

Sasa dunia inasubiria kuona kama kweli ufalme huu wa soka wa timu za uhispania na timu yake ya taifa kama ndio umefikia tamati hii ni kutokana na timu ya taifa ya nchi hiyo huwa imesheneni wachezaji wengi sana kutoka katika timu hizi kubwa mbili ya Real Madrid na Fc Barcelona.

Na si hayo tuu maswali yamebakia pia maswali ya jee Messi ndio ukali wake katika soka umefikia tamati ? itakumbukwa mchezaji huu ambaye ameweza kufunga kila mchezo katika msimu hu wa ligi ya Uhispani ameshindwa kupata hata bao moja katika michezo hii ya nusu fainali hata bao la kuotea tuu imekuwa vigumu kwake.

Mchezaji huu aliyekuwa na msimu bora kabisa msimu uliopita na kushuhudia kupata tuzo ya mchezaji bora wa dunia kwa mara ya nne mfufulizo achilia mbali makombe ya ubingwa wa ulaya mara tatu na kombe la ubingwa wa Uhispania La Liga mara tano na hivi karibuni atatwaa la sita.

  
Can Messi improve any further at Barcelona? (©GettyImages)
Lionel Messi , Mchezaji bora wa dunia mara nne mfufulizo, Mara 3 ubinwa wa Ulaya na tano kombe la ligi ya uhispania (La Liga na karibuni atakjitaliwa la sita) ndio mwisho wake wa ukali wa soka umefikia tamati???



























































Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.