Habari za Asubuhi na Heri ya mwaka mpya ndugu zangu wa kweli, natanguliza maombi ya MSAMAHA kwenu wote ambao huwa mnatembelea www.makangale.blogspot.com ambapo kwa muda mrefu kidogo haikuweza kuwaletea habari zenu motomoto za kimichezo, kielimu, kitaifa na nakadhalika. Hii ni kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu.

Natumai ya kwamba mtapokea msahama wangu na kuanza tena ukurasa mpya katika kuhahahikisha ya kwamba katika  kipindi ambacho nilikuwa nje kwa kutowaletea habari zenu mlizozizoea na kuzifuatilia ya kuwa nimekuja na nguvu mpya na maarifa mapana katika  kuwaboresha website yenu.

Na kuanzia leo   hii nawahakikishia kuanzia saa chache zijazo www.makangale.blogspot.com itaendelea na utaratibu wake mzuri mliouzoea ndugu zangu!!!

Asanteni sana kwa kunielewa na kunisamehe.
Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.