Ilimchukua dakika 25 tuu kwa mchezaji mpya wa Ac Milan na timu ya taifa ya Italia aliyehamia hivi karibuni tokea klabu bingwa ya Uingereza, Manchester City Mario Balotelli kuaindikia timu yake mpya hiyo bao la kwanza na kuongeza lingine la pili kwa njia ya mkwaju wa penati katika dakika za lala salama (94) na kuipa ushindi timu yake hiyo mpya ushindi wa mabao  2-1 dhidi ya Udinese katika ligi kuu ya Italia almaaarufu kama Serie A.

Mario akuacha vituko alisema goli moja ni kwa ajili ya familia yake na goli ni kwa ajili ya wakala wake na liwalenge wale wote waliosema ya kuwa ya kuwa mimi si mchezaji wa Milan


 Balotelli in Milan-Udinese (Getty Images)




 WHY ALWAYS ME-LAN ... Balotelli celebrates after scoring twice on his Milan debut

 Mariao Balotelli akishangilia moja ya mabao yake na mchezaji mwezake





























































Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.