April 7, 202507:06:18 PM

Timu ya Barcelona ya Uhispania jana usiku iliangukia pua  mara baada ya kukubali kipigo cha mabo mawili kwa bila toka kwa timu ya Ac Milan toka Italia.
Kevin-Prince Boateng and Sulley Muntari
Wauaji wa Barcelona, Kevin-Prince Boateng na Sulley Muntari wakishangilia, picha na EUFA.com

Walikuwa ni wachezaji wawili wa timu iliyoshuka mpaka daraja la kwanza ya nchini Uingereza, Portsmounth na wazaliwa wa Ghana , Kevi- Prince Boateng na mwenzake Sulley Muntari wailopeleka kilio kwa magwiji hao wa soka wanaowania kutwa taji hilo kwa mara ta tatu katika kipindi cha ndani ya miaka mitano.

Ilimchukua dakika 57 kwa mzaliwa huyo wa Ghana mwenye Uraia wa Ujerumani kuipatia goli lenye utata timu yake ya Ac Milan na kufanya ubao usomeke 1-0.
Sulley Muntari
Sulley Muntari akijikunjuatayari kuleta madhara langoni mwa Barcelon, Picha na Reuters


Labels:

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

Post a Comment

    Author Name

    Contact Form

    Name

    Email *

    Message *

    Powered by Blogger.