April 8, 202512:01:01 PM

Rais Kikwete amekagua ukumbi  mkubwa wa mikutano (Multi- Purpose Conference Hall) uliopo mtaa wa Shaaban Robert jijini Dar es Salaam.

Ukumbi huo wa Serikali upo chini ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.

Ujenzi wa Ukumbi huo uko katika hatua za mwisho na Rais Kikwete mbali na kuridhishwa na hatua hiyo ametoa maelekezo kwa Wahandisi kutenga sehemu maalumu kwa Wapiga picha na Waandishi wa habari ili waweze kufanya kazi zao kwa ufanisi.

Rais Kikwete pia ameelekeza Wahandisi kuweka viti na meza zinazohamishika ili kukidhi matakwa ya mikutano na vikao vya aina mbalimbali.


Picture
(picha zote na Freddy Maro via Nkoromo Daily blog)








































































Labels:

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

Post a Comment

    Author Name

    Contact Form

    Name

    Email *

    Message *

    Powered by Blogger.