Katika ukurasa huu tunawaletea picha za matokea ya michezo mbalimbali iliyochezwa mwishoni mwa Juma.

Manchester United mwishoni mwa juma ilijipatia ushindi wa mabo 2-0 na kutanua wigo wake na timu nyingine has mahasimu wake Manchester City kwa pointi kumi na mbili mara baada ya City kupoteza mchezo wake siku ya Jumamosi.

Barcelona ya Uhispania pia jana iliwatandika Getafe kwa mabao sita kwa moja na kuendelea kuongoza kwa tofauti ya pointi  kumi na sita  dhidi ya mahasimu wao wa jijini Madrid ya Athletico Madrid kwa pointi kumi nambili ikiwa imejikusanyia point 62 dhidi ya 52 za Athletico Madrid na 46 za Real Madrid. 

Katika ligi kuu ya Ujerumani al maarufu kama Bundelsiga ilishuhudia timu ya Bayern Munich ikizidi kupaa kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo mara baada ya timu ya Borussia Dortumnd kukubali kipigo cha mabao 4-1 katika uwanja wake wa nyumbani wa Siganl Iduna Park toka kwa timu ya Hamburg SV. Na huku Bayern Munich ikiichambua Schalke 04 kwa mabao 4-0 na kufanya iendelee kuongoza kwa jumla ya tofauti ya pointi 15.

Bayern Munich hadi hivi sasa imefanikiwa kujikusanyia jumla ya pointi 54 dhidi ya 39 za Borussia Dortmund.

Na  






Ryan Giggs akishangilia pamoja na Robin Van Persie mara baada ya kuandikia Manchester United bao la kuongoza na kwa kufanya hivyo anakuwa mchezaji wa kwanza kufunga goli kila msimu wa Ligi kuu ya Uingereza kwa misimu takriban ishirini na saba 27.




Robin van Persie rounds Tim Howard
Robin Van Persie akiipatia Manchester United goli la pili na la ushindi katika mchezo uliochezwa jana katika uwanja wa Old Trafford.


Manchester United Ryan Giggs group celeb v Everton




POWER SERG ... Ramos with Real pal Ronaldo

Mchezaji SErgio Ramos wakishangilia kwa pamoja na Christiano Ronaldo katika ushindi wao wa mabao 4-1 dhidi yaSevilla FC


Alexis Sanchez celebrates giving Barcelona the early lead against Getafe

Mchezaji wa Barcelona Alexis Sanchez akiruka kwa furaha katika kushangilia goli lake likiwa ni la kwanza kwa msimu huu katika ushindi wao 6-1 dhidi ya timu ya Getafe katika ligi kuu ya Uhispania, La Liga.

OWN GOAL WOE ... Gareth Barry reacts after scoring Southampton's third
Wachezaji wa Manchester City wakiongozwa na Joe Hart wakitoka vichwa chini mara baada ya kupoteza mchezo wao dhidi ya Southampton kwa jumla ya mabao 3-1

SUCKER PUNCHEON ... Southampton break the deadlock
Gareth Barry akijifunga na kuisaidi Southampton kujipatia goli la  tatu.



DOUBLE TROUBLE ... Steven Davis pokes home a second for Saints
Kipa Joe Hart wa MAnchester City akifungwa goli la pili na Steven Davis

FRANKS A BUNCH ... Lampard celebrates with Eden Hazard and Juan Mata
Wachezaji wa timu yaChelsea wakishangilia kwa pamoja ushindi wa mabo 4-1 dhidi ya Wigan


RAM RAID ... Brazilian Ramires fires Chelsea in front

Mchezaji Ramirez akiipatia timu yake goli la kuongoza katika ushidni wa mabao 4-1 dhidi ya Wigan Athletic.

David Alaba celebrates after putting Bayern in front against Schalke
David Alaba wa Bayern Munich akishangilia mara baada ya kuifungia Bayern Munich.


Cameron Jerome

Mchezaji toka Cameroon, Jerome akiifungia Stoke City goli la pili katika ushindi wo wa 2-1 dhidi ya REading








































































Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.