
Mwanamuziki wa Uingereza Cherly Cole akipafomu jukwaani katika siku yake ya kwanza katika ziara ya kundi la Girls Aloud mjini Uingereza

Aliyekuwa mke wa mchezaji wa Chelsea Ashley Cole, Cherly Cole akiwa kwenye jukwaa na huku akionyesha tat-tatuu mpya mgongoni.

Wakina dada wa kundi la muziki la Girls Aloud wakiwa jukwaani katika ziara yao la tamsaha la muziki mjini Newcastle anapotokea Cherly Cole.

Mwanadada wa kudni la zamani la muziki la Spice Gilrs, Mel B akiwa katika pozi mara baada ya kusaini kuwa jaji katika kipindi cha America Got Talest show (AGT).
Post a Comment