Ajali mbaya ya gari la mashindano lilioacha acha njia ya mashindano na kuapramia stendi ya waangaliaji limejeruhi watu 33. Ajali hiyo ilitokea mara baada ya gari la mshiriki aitwae Kyle Larson kupasuka mpira wa mbele katika hatua ya mwisho ya mashindano ya kimataifa ya magari yajulikano kama,"Iconi Daytona International Speedway, " yanayofanyika mjini Florida, Marekani.

Gari la mshiriki, Kyle Larson lilioacha njia na kuparamia uwanja wa watazamaji.

Gari la mshiriki Larson likipaa hewani mara baada ya kupasuka mpira wa mbele

Majeruhi wa ajali wakipatiwa huduma ya kwanza

Gari la Larson likiteketea kwa moto

Larson akiwa haamini macho mara baada ya kunusurika kifo
![]() |
Mabaki ya ajali, Tairi yakiwa kwenye uwanja wa watazamaji |
Post a Comment