Jana usiku Beckham aliuhiurishia umma ya kuwa yeye ni zaidi ya mchezaji mwenzake wa Kiingereza anayeichezea Olympic Marseille kwa kuisaidia timu yake mpya kutoka kifua mbele kwa mabao 2-0.

Beckkham aliyesajiliwa katika dirisha dogo la usajili la mwezi Januari aliingia katika dakika ya 76 uwanjani ikiwa ndio mechi yake ya kwanza tangia asajiliwe na matajiri hao wa Ufaransa itakumbukwa Bechkam kuanzia mwezi Desemba alikuwa hana timu mara baada ya mkataba wake na LA Galaxy ya marekani kufikia kikomo.

Alikuwa ni Beckkham  ambaye kila akigusa mpira mashabiki wakiwa wanamshabikia kila mara aliyetoa pasi kwa mchezaji Jermy Menez ambaye mara baaday kupokea pasi ya Beckham akapiga krosi iliyomfikia Zlatan Ibrahimovic ambaye bila ajizi akaukwamisha mpira kimian na kumwacha Joe Barton akishangaa pasipo kuamini kilichokuwa kinatokea.


David Beckham
David Beckham akishangilia na mchezaji mwenzake Ibrahimovi mara baaday ya kufunga goli la pili.

ZING TIME IN PARIS ... Becks and Barton exchange digs

Joe Barton na David ?Beckham wakibadilishana maneno katika mchezo wa jana.

JOE NO ... Barton is left reeling as Becks hails Ibrahimovic

Mchezaji mtukutu Muingereza, Joe Barton anayeichezea Marseille akiwa haamini kilichokuwa kikiendelea mara baada ya timu kukubali kufungwa goli la pili







































































Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.