• Mwanzilishi wa Obi Mobiles na Mkurugenzi Mtendaji wa zamani Apple, John Sculley aahidi utendaji wenye tija katika vifaa vya simu za mkononi chini ya nembo ya Obi nchini.
•
Kampuni ya Obi Mobiles inalenga kuongeza mauzo kupitia mpango mkakati
unaowalenga vijana na walaji wengine
•kupitia
aina mbalimbali ya simu ambayo itakuza upatikanaji wa mtandao na kufanya
Tanzania moja ya nchi bora katika upatikanaji wa teknolojia ya mawasiliano.
Tanzania:
Februari 24, 2015 - Obi Mobiles, Simu yenye teknolojia mpya na nembo ya
Mwanzilishi na Mkongwe katika mambo ya Masoko na Mkurugenzi Mtendaji wa zamani
wa Apple, John Sculley, ni mbia mpya katika kampuni ya Inflexionpoint yenye
makao makuu Sculley’s Toronto, Nembo hii mpya ya kampuni ilifanya uzinduzi wake
mkubwa nchini India na Mashariki ya Kati mwaka 2014.
Walengwa
wakubwa katika kampuni hii ni vijana na watu wanaokwenda na wakati wa matumizi
ya simu za mkononi, Simu na vifaa vya Obi vimepokelewa kwa hamasa kubwa katika
masoko na simu ina matumaini wataendelea kupata wateja wengi siku za usoni.
Kampuni
ya Obi Mobiles ilizindua aina saba za simu mbalimbali kwa ajili ya soko la
Tanzania. Aina hizo za simu ni kama vile Hornbill S551 kwa TSh 350,000, Falcon
S451 TSh 290,000, Crane S550 TSh 270,000, Wolverine S501 TSh220,000, Fox S453
TSh160,000, Racoon S401 TSh 130,000 na Power GO F240 – simu yenye uwezo mkubwa
na vipengele mbalimbali 2,800mAH betri, na ina Power Bank (chaji benki) yenye
uwezo wa kuchaji simu nyingine TSh 50,000.
Imani
ya msingi katika kampuni ya Obi Mobiles ni kwamba teknolojia ni kitu cha lazima
kwa kila mtu na uunganishwaji ni fursa ya kufungua mianya ya nafasi za biashara
na kusaidia kukua kiuchumi na maendeleo ya kijamii kwa taifa husika. Maono ya
John Sculley ni kuhakikisha kwamba teknolojia isiwe kikwazo kwa mtu yeyote
kupata kutokana na matatizo ya kimtandao au vikwazo vyovyote ambavyo vitasababisha
watu wengi zaidi kukosa fursa hii.
Smartphones
mpya za Android zilizozinduliwa na Obi Mobiles hutoa huduma bora zaidi na
teknolojia ya hali ya juu na kwa mantiki hiyo kutoa fursa kwa watumiaji wa
Tanzania kuwa katika nafasi nzuri zaidi ya kufurahi intaneti kupitia uzinduzi
wa simu hizo saba tofauti tofauti, uzinduzi rasmi wa simu hii kutoka kampuni ya
Obi ni Mwezi Machi tarehe 7.
Akizungumza
juu ya mkakati wa kampuni hiyo Afrika, Mkurugenzi Mtendaji wa Obi Mobiles MENA,
Amit Rupchandani, alisema: "Wateja wanaongezeka kwa kuangalia jinsi ya
kuboresha matumizi ya simu zao za mkononi kutoka katika simu za zamani kwenda
kwenye simu za (smartphones). Hata hivyo, gharama kubwa za uwekezaji katika
vifaa ya simu hizi mpya- na umri wa simu hizi mpya na matamanio ya wanunuzi
wapya ni wakati mwafaka kwa kampuni ya Obi Mobiles, ambao tunaamini kutia alama
ya vema katika box hili jipya katika maswala ya ubora wa simu, bei ili kuweza
kuwafikia kila aina ya mteja katika soko ili kuongeza thamani katika soko la simu
bara la Afrika,”
Kuhusu Obi
Mobiles:
Makao Makuu yake ni Singapore, Obi Mobiles ni aina
mpya ya simu za kusisimua inasimamiwa na kampuni ya Inflexionpoint, Toronto, Ni
kampuni ya kimataifa ya uwekezaji na inajishughulisha na kusambaza vifaa vyote
vya Teknolojia na Mawasiliano na Mwazilishi ni John Sculley, Mkurugenzi
Mtendaji wa zamani katika Apple Inc na Pepsi. Ilizinduliwa kwa mara ya kwanza
nchini India mwezi Aprili mwaka 2014, na ina karibia kufanya uzinduzi mkubwa
kabisa na kupanua shughuli zake Mashariki ya Kati katika nchini za Falme za
Kiarabu (UAE), Obi inalenga kukua uwepo wake kwa njia ya masoko na mauzo
inaendeshwa kwa mbinu mbalimbali na
walengwa wakubwa ni vijana na wateja wa kati.
mwisho
Post a Comment