Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamWizara ya Mifugo na Uvuvi, Ubalozi wa Uholanzi Tanzania na wadau wa ufugaji wa kuku kwa pamoja wamezindua mradi wa kutathmini mtaala wa mafunzo ya ufugaji wa kuku...
Mwonekano wa nje wa jengo jipya la ukumbi wa mikutano wa kisasa wa Chama
Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Dodoma. Ukumbi huu utaanza kutumika rasmi
Julai 10, 2015 wakati wa Mkutano Mkuu wa CCM wa kupitisha jina la
mgombea Urais atakayeipeperusha bendera ya CCM kwenye Uchaguzi Mkuu wa
mwezi Oktoba mwaka huu. Ukumbi huu una uwezo wa kuchukua watu zaidi ya
3,000 kwa wakati mmoja
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.