Inavyoonekana ya kuiwa ni timu ya Chelsea tuu ndiyo itakayofanikiwa kuiepereusha vyema bendera ya Uingereza katika michuani mikubwa ya vilabu barani ulaya mara baaya ya jana kuifunga timu ya Galatasaray kutoka Uturuki kwa mabao mawili bila majibu na hivyo kusonga mbele katika hatua inayofuatia ya Robo fainali ya michuano hiyo mikubwa ya ngazi za vilabu barani Ulaya.

Walikuwa ni mchezaji nguli toka barani Africa na timu ya ya taifa ya Cameroon "Indomitable Lions", Samuel Eto'o na beki wa Uingereza Gary Cahil waliofungamagoli pekee ya mchezo huo wa maruadiano na kuifanya kusonga mele kwa jumla ya magoli 3-1 kwani katika mchzo wa kwanza ulichezwa wiki mbili zilipita timu hizo zilifungana goli 1-1.


Kwa ushindi huo timu imefanikiwa kusonga mbele huku wakisubiria kujua kama ndio watakuwa wawakilishi pekee toka uingereza kwa mchezo utachezwa leo dhidi ya Mabingwa wa Uingereza na mabingwa wa Ugiriki timu ya Olympiakos huku mabingwa hao wa uingereza wakiwa nyuma ya mabao mawili kwa bila kwani walikubali kipigo hicho katika mchezo wa kwanza uliochezwa mjini Athens
.

Chelsea manager Jose Mourinho salutes victory



























































































Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.