Usiku wa Nyama choma uliofanyika siku ya jumamosi katika viwanja vyya posta kijitonyama ulishuhudia bendi ya skyllight ukivuta umati wa wananchi wa jiji la Dar Es Salaam lkatika jukwaa lao. Usiu huo uliokuwa umepambwa na kila aina ya burudani.

 Upande wa kaskazini mwa uwanja huo ulikuwa umepambwa na bendi ya skylight ambapo uliwavuta mamia kwa maelfu ya wananchi kushuhudia ubunifu wa wanabendi hao na upande wa magharibi wakiburudishwa na music wa mbele kama waitavyo wattot wa mjini wakiwa na mana wa nchi za mgharibi.

DSC_0472
Sam Mapenzi na Sony Masamba wakitoa burudani ya aina yake kwenye tamasha la Nyama Choma lililofanyika Jumamosi hii kwenye vianjwa vya Posta jijini Dar ambapo Skylight Band iliongoza kwa kukusanya mashabiki lukuki.

 

DSC_0471
Hapa wahudhuriaji wakionyesha utaalamu wao wa kurudi ngoma ya Skelewu

 DSC_0435

 

 DSC_0491

 DSC_0446

 DSC_0446

DSC_0504
Wanabebdi wa Skylight wakionyesha ubora wao jukwaani
DSC_0478
Maelfu ya mashabiki waliojitokeza katika usiku wa nyama choma
DSC_0413
Winfrida Richard (katikati), Hashim Donode pamoja na Digna Mbepera wakiwapa raha  mashabiki wa Skylight Band kwenye tamasha la Nyama Choma ndani ya viwanja vya Posta Kijitonyama jijini Dar.

 DSC_0415

 DSC_0499

DSC_0462
Umati wa wakazi wa jijini Dar wakipata burudani ya aina yake kwenye tamasha la Nyama Choma wakati Skylight Band ikitumbuiza.

 

 DSC_0473

 DSC_0460

 DSC_0453

 

DSC_0481
Daudi Tumba na mpiga Bass wa Skylight Band Chili Chala wakifanya yao jukwaani.

 

 DSC_0418

 

 DSC_0433

 

 DSC_0518

 

 DSC_0516

 

 DSC_0424

 

DSC_0535
Mmilikiwa Duka la Zuri Fashion Boutique, Fashionista ambaye pia ni Blogger dada Jestina George akishow love na shemeji yake kwenye Nyama Choma Festival iliyofanyika kwenye viwanja vya Posta.
DSC_0524
wakati wanapokutana  ni full tabasamu tuu!!! Menjea muendeshaji wa  MOblog Zainul Mzige akipata ukodak na Blogger Jestina George…hawa jamaa walikuwa wakiwasiliana kwa njia ya barua pepe katika kupashana habari, hatimaye walikutana uso kwa uso kwenye Nyama Choma Festival ndani viwanja vya Posta.

 http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/03/DSC_0399.jpg

DSC_0556
Mzee wa Skonga ya EATV Allan Lucky akishow love na warembo ndani ya Nyama Choma Festival.

 DSC_0511

 DSC_0522

 DSC_0560

 

 DSC_0579

 DSC_0571

 DSC_0576

 

 DSC_0574

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.