Majogoo wa jiji la  Liverpool wamendelea na kampeni yao ya kuunyatia ubingwa wa ligi  kuu ya Uingereza kwa kuzidi kuikandamizia chini timu iliyo katika janga la kushuka daraja ya Sunderland kwa jumla ya mabao mawili kwa bila 2-0 katika mchezo wa ligi hiyo uliochezwa jana usiku.
kwa ushind huo timu hiyo imeweza kujinyakulia pointi tatu muhimu katika mbio za kusaka ubingwa huo na kuiwezesha kufikisha jumla ya pointi 68 ikiwa ni poiny moja nyuma ya vinara wa wa ligi hiyo  timu ya Chelsea ambayo mpaka sasa hivi inaongoza ikiwa na jumla ya ya pointi 69 baada ya timu zote mbili kuwa zimecheza jumla ya michezo 31 ya ligi hiyo mpaka sasa.

Alikuwa ni nahodha wa timu hiyo Steven Gerrard na Daniel Sturridge waliopelekea timu hiyo kuendelea kuwa katika mbio za kuusaka ubingwa huo ikiwa ni miaka ishirini na moja (21) tangia timu ilipotwaa ubingwa huo kwa mara ya mwisho.

Na katika mchezo mwingine wa ligi uliochezwa jana mbali na ile iliyochezwa juzi usiku ilishuhudia timu za West han ikifanikiwa kuchukua point tatu zote muhuimu dhidi ya timu ya Hull City kwa jumla ya nmagoli 2-1.

Msimamo wa ligi hiyo nia kama ufuatavyo:-











Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.