Jaribu kujionea jinsi wenzetu  walivyo piga hatua katika kukabiliana na majanga ya moto katika ujenzi wa jengo la makazi mjini San Fransisco nchini Marekani wakiwa kazini katika kujitahidi kuzima moto uliokuwa umeibuka katika sehemu ya jengo hilo uliokuwa umekamilika wa jengo hilo linategemea kuwa la makazi.


Hii inatupa fursa na changamoto kwa nchi zetu zinazoendela hasa Tanzania ambapo tumekuwa tukishuhudia majanga kama haya yakiwa kila siku zikiacha familia nyingi na asasi nyingi zikipoteza mali na fedha ambapo kama mipango mahususi na madhubuti ingewekwa adhari kama hizi zingeweza kuepukika na kusaidia kuokoa mali na fedha katika ujenzi wa mataifa yetu.
Firefighters spray water on a partially completed apartment building after fire burned through the construction site in San Francisco March 11, 2014. REUTERS/Noah Berger
wafanyakazi wa kikosi cha moto wakijitahidi kuzima moto mkubwa katika upande uliokamilika wa jengo la makazi  baada ya moto kushika jengo hilo linaloendelea kwa uejzi mjini San Fransisco nchini AMekani mnamo taehe 11, 2014 Mwezi huu.

Picha na video kwa hisani ya mtandao wa Reuters.















































































































Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.