Mchezaji mahiri wa kiungo na raia wa Ujerumani anayechezea mabingwa wa nchi hiyo ambapo pia ndio  mabingwa watetezi kombe la klabu bingwa wa michuano ya mabingwa barani ulaya Bayern Munich, Toni Kross ametanabaisha ya kuwa lolote linaweza kutokea na kujiunga na timu yoyote kwa kuwa bado ajasaini mkataba mpya na mabingwa hao.

Mchezaji huo anayehusihwa na kujiunga na mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Uingereza, Machester United amesema hayo jana usiku kabla ya mechi ya marudiano na timu toka uingereza Arsenal katika hatua ya kumi na sita bora uya michuanio hiyo iliyo mikubwa kuliko yote katika ngazi ya vilabu.


Stalled:? Kroos has yet to sign a new contract with the European champions




Maestro: Kroos celebrates scoring against Arsenal in the Champions League




Wonder strike: Kroos watches his shot fly past Lukasz Fabianski to give Bayern the lead against Arsenal



Mind games: Kroos (left) could just be looking for a new deal at Bayern


Kross mwenye miaka 24 amebakiza mwaka mmoja tuu kwenye mkataba wake wa sasa na mabingwa hao wa Allianz arena na amekuwa akifuatilia kwa ukaribu na kocha aliyeko kwenye wakati mgumu kwa sasa wa Manchester United,, David Moyes.



















































Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.