Kizazi kilichotamba kwa pamoja almaarufu kama ,"Class of '92" |
Beckham
na mashujaa wengine wa timu hiyo kama Paul Scholes, Ryan Giggs, ndugu wawili
Gary na Phil Neville pamoja na Nicky Butt wako mstari wa mbele katiak
kufanikisha dili hiyo kabambe itakayosimamiwa na mkataba mnono wa kupata hela
toka kampuni ya mafuta ya Arab oil.
Wachezaji
hao sita inasemakana wako katika mazungumzo ya upatikanaji wa hela hizo
utakaowawedhesha kuunda umoja wa kuwawezesha kuinunua timu hiyo toka katika
familia ya mmarekani Glazer ambaye na
hisa za umiliki wa timu hiyo kwa asimila tisini (90).
Familia
hiyo inayoongozwa na kaka wawili Avram na Joel waliinunua jumla timu ya
Manchester United mnamo mwaka 2005 ila mnamo mwaka 2012 wakauza hisa zenye
asilimia kumi katika soko la hisa.
Vile
vile kuna habari pia mkufunzi wa mbio za farasi Ged Mason, mtayarishaji wa vitabu Fred Done
na mabilionea wengine kadhaaa nao ni
miongoni mwa watu wanaoaminika ya kuwa wamefuatwa juu ya uwezekano huo wa
ununuzi.
Kama
wavuatiliaji wa mambo walivyoona jana katika soko la hisa jinsi shea za timu
hiyo zilivyopanda kwenye soko la hisa la New York kwa asilimi mbili hadi kufikia $16.14 na hivyo kiufanya klabu hiyo na kuwa na
dhamani ya $2.6billion toka £1.6billion. ingawa klabu hivyo kwa sasa iko
katika hali ngumu chini ya kocha David Moyes ambayo juzi ilipoteza mchezo dhidi
wa wahasimu wake wakubwa Manchester City
kwa jumla ya mabao 3-0 , ambayo inamilikwa na waarabu.
Chanzo
cha habari kimeendelea kutanabaisha ya kwamba familia ya Glazers wamepoteza
matumaini. Na kila mmoja anafahamu ya kuwa kwa sasa klabu iko tayari kwa kuuzwa.
Ni swali tuu la kupata bei nzuri itakakaowasaidia kurudisha hela yao
waliowekeza. Na faida kidogo.
Gazeti
la Sun wanatambua ta kuwa katika dili hilo la kuinunua Manchester litafadhilia
na familia ya kifalme ya Qatari royal family na kusimamiwa na kina Beckham.
Beckham
aliyeitumikia timu ya Paris Saint Greman kwa takribani miezi mitano itakumbukwa
pia inamilikiwa na familia hiyo ya Qutari kabla hajamua kutundika daluga zake
mwishoni mwa msimu uliopita. Chanzo hicho cha city kimeendelea kusema ya kuwa
Mtaalam wa masuala ya fedha , Bwana David Bick
na ambaye ameshriki katika dili za mambo ya soka ameliambia gazeti la The Sun
ya kuwa hawezi kuamnini kama familia ya Glazers itaendelea kuimiliki Manchester
kwa muda zaidi kwani wao wako kipesa zaidi na zaidi ya hilo.
Baiashara yenyewe
dhamani yake yapata kwa hiyo ianweza
kuwa dili nzuri kama vile kuwania kutwaa
kikombe. Na hiyo inaweza kuwa fursa kwa yeyote Yule anayetaka kuimiliki
Manchster kwa kujenga umaarufu na si kuangalia suala la pesa.
Katika
dili hili Gary Neville ndiye anayeonekana kuwa kinara wa kupeleka mambo mbele
zaidi.
Utajiri wa The Class of '92 kwa sasa
uko hivi:-
Paul Scholes, 39
- Utajiri
wake ni wa Dhamani £19million
- Anayependela kuanza kazi ya ukocha
Phil Nevile, 37
- utajiri
wake ni wa dhamni ya £12million
- Kwa sasa ni kocha wa kwanza wa Man
United chini ya David Moyes
- Amefanikiwa kuongeza kiasi cha £20million
baada ya kujenga hospiotali ya
watoto
Ryan Giggs, 40
- Ana
utajiri wenye dhamani ya £34million
- Anamiliki moja ya dhamani ya GG
hospitali na rafiki yake Gary Neville
- Anasemakana pia anataka kuinunua
timu ya Salford FC
Nicky Butt, 39
- Ana
utajiri wenye dhamani y £14million
-Kwa sasa ni kocha wa timu ya wachezaji wa
akiba wa Man United.
David Beckham, 38
- Ana
utajiri wenye dhamani ya £165million
- Ni mmoja wa wataomiliki mradi wa Miami
MLS unaosemakana utakuwa wenye dhamani
ya £15million
- Footwork Productions grossed
£16.5m from endorsements in 2012
- Beckham pia anamiliki Ventures Ltd
(Victoria's fashion range) iliongeza hadi
kufikia dhamani ya £15.4m mnamo
mwaka 2012
- Brand Beckham mradi mwingine
uliokuwa na dhamani ya £3.2m mwaka 201.
Gary Neville, 39
- Ana
utajiri wenye dhamani ya £20million
- Anamiliki pia Café Football pamoja na Ryan
Giggs
- Ana mpango pia wa kufungu Hotel Football nyuma
ya Old Trafford
Chanzo cha Habari na GUY PATRICK na SIMON ENGLISH wa City Editor kutoka Gazeti la The Sun.
Post a Comment