Bodi ya wakurugenzi wa Manchester wameendelea kupatwa na wasiwasi kama kweli Moyes ndiye mtu sahishi anayepaswa kuendelea kuongoza timu hiyo kubwa na yenye mashabiki luluki ulimwenguni kutokana na mwenendo mbovu wa timu hiyo kwa kuzidi kwenda mrama na kupoteza hata  matumanini ya kuicheza ligi ya mabingwa wa ulaya kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 19 tangia mwaka 1995 mara ya kupokea kipigo cha mabao 3-0 toka kwa mahasimu wao wakubwa wa ligi hiyo timu ya Liverpool hapo jumapili.

Mechi ya kwanza itakayoshuhudia kama Moyes atafanikiwa kujinasua katika mtego wa kutofukuzwa itakuwa ni ya kesho ya marudiano na nyingine ya siku ya Jumatno dhid wya wapiga nyundo wa mjini London, West Hamu kabala ya kukutana na wahsimu wao wakubwa wa mjini Manchester timu ya Manchester City itakayopigwa hapo usiku wa siku ya Jumanne.

Moyes katika siku ya jana na juzi amekuwa na mjadala mrefu na wasaidizi wake katika kuhahakisha hali ya timu katika uchezaji inaboreka.



Meneja wa timu ya Manchester united, David Moyes

























Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.