Timu za Arsenal ya Uingereza na mabingwa wa zamani wa Italia, Ac Milan jana usiku ziliaga rasmi mashindano ya Ligi kuu ya mabingwa ulaya mara baada ya kukubali vipigo toka kwa timu za Bayern Munich ambaoi ni mabinwa watetezi wa kombe hilo na timu ya Atletico Madrid ya uhispani.
Itakumbukwa wiki mbili zilizopita timu ya Arsenal ilikubali kipigo cha mabo mawili pasipo majibu toka kwa Bayern Munich nyumbani kwake Emirates na jana usiku pamoja na kutoka droo ya 1-1 katika uwanja wa nyumbani wa Bayern Munic Alianze Arena ambayo imeshindwa kuibebea timu hiyo na kuipeleka katika hatua ya robo fainali.
Nayo Ac Milan ya Italia ilikubali kipigo cha mabao manne kwa moja 4-1 toka kwa Atelico Madrid nyumbani kwake Vicente Calderon na hivyo kufanya iwe imetolewa nje ya mashindano hayo kwani katika mchezo wa mzunguko wa kwanza wa hatua hiyo Mabingwa hao wa Zamani wa Italia walikuwa wameshakubali kipigo cha bao 1-0 uwanjani kwake San Siro jijini Milani. na hivyo kuifanya iwe imetolewa kwa jumla ya mabo 5-1.
|
Kocha wa Bayern Munich, Pep Gurdiola aliyekiri ya kuwa Bayern Munich walikuwa bora zaidi ya Arsenal katika mchezo wa jana |
|
Arsenal Wenger meneja wa Arsenal aliyelalmikia penati ya Robben kwa kusema ya kwamba ni muanguaji mzuri (Arejen Robben is good diver) |
|
Kocha mkuu wa Ac Milan, Clearance Seerdorf |
|
Diego Costa akishangilia moja ya mabao yake katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Ac Milan jana katika uwanja wao wa nyumbani wa Vicente Calderon mjini Madrid. |
Post a Comment