Wengi wa kinadada huwa na wakati mgumu sana katika kuchukua uamuzi.. |
Wewe
ni mdada na umekutana na mkaka mzuri wa sura,mtanashati, mcheshi na ghafla wewe mdada ukatokea kukolea na
kutamani kuwa nae ghafla…
Mkaka mzuri wa sura , mtanashati na mcheshi |
Sasa
swali linalokuja ni je? Ni muda gani utaoukuchua
mapaka kumfanya kuwa wako wa kudumu na jee itakuchuka muda gani kuweza kushiriki nae katika tendo la ndoa.
Mara
nyingi dada zetu huwa wanapatwa na wakati mgumu sana kwani swali au maswali
wanayojikuta nayo ni kwamba endapo atamkubalia haraka na kushiriki nae tendo la
ndoa ni kwamba hii inaweza kusababisha kupoteza nafasi ya kujenga mahusiano naye yenye kudumu
yatakayosababishia ndoa, na hii mara nyingi huwa inatokea pale mvulana
anapokuwa nia yake ni tendo la ndoa tuu na mara baada ya kukidhi haja yake
anamuacha na kumtafuta mwingine…
Vile
vile hatari nyingine endapo atakuwa tayari kuwa nae pasipo kushiriki nae tendo
la ndoa hathari kubwa wanayoihofia ni kuwa hali hii inaweza kumfanya mvulana
kukosa uvumilivu na kuamua kuondoka na kwenda kwa mwingine utakuwa ni mkubwa.
Kulingana
na tafiti mbalimbali zinaonyesha ya kuwa muda wa kuchukua maamuzi kwa wakina
dada limekuwa ni taatizo kubwa sana kwa kina dada.
Mmoja
wa kina kaka mwenye uzoefu katika masuala ya dating alipohojiwa yeye alisema ya kwamba mara nyingi wakina
dada wanapaswa kuwa wavumilivu angalau
wawe wametoka (dating) na mvulana kwa angalau mara tatu ndipo washiriki nao
katika tendo la ndoa ikiwa kama wanataka kujenga mahusiano ya kudumu.
Na
katika idadi ya wakina dada walihojiwa kuhusu na swali hili wao waliweza kujibu
ifuatavyo, Joyce yeye alisema angalau yeye itamchukua takribani miezi sita ila
pia iytategemea na muelekeo wa mvulana jinsi atakavyokuwa amejihidhirisha
kwake.
Grace
yeye alijibu ya kwamba yeye atajali muda ila atajali zaidi muonekano wa hali
iytakavyokuwa katika ushusino wao ili kuamua kushiriki katika tendo la ndoa.
Post a Comment