Kwenye video ifuatayo, viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA)
ambao ni wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, waheshimiwa. James Mbatia,
Freeman Mbowe na Prof. Ibrahim Lipumba wanazungumzia sababu za kuigomea
Kamati ya Kanuni ya Bunge la Katiba siku ya Jumatano, Machi 26, 2014.
Habari katika VIDEO:UKAWA wazungumzia mgomo dhidi ya Kamati ya Kanuni ya Bunge la Katiba
26Mar2014
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.