Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Jakaya Kikwete akipokea moja ya kati ya mbili ya Kadi za CHADEMA kutoka kwa aliyekuwa Mwanachama wa CHADEMA, Mrisho Issa mkazi wa Kijiji cha Msata, ndani ya Jimbo la Chalinze. Mwingine aliyerudisha kadi ni Kassim Msakamali (hayupo pichani). (picha, maelezo: Othman Michuzi)



Ridhiwani (katikati) akiwainua mikono Wanachama wapya wa Chama cha Mapinduzi, Kassim Msakamali (wa pili kushoto) na Mrisho Issa (wa pili kulia) ambao wote ni Wananchi wa Kijiji cha Msata, Chalinze. Kulia ni Meneja wa Kampeni za Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM), Steven Kazidi.

Ridhiwani akiwa amekabidhiwa fimbo ikiwa ni ishara ya kusimikwa na kuwa Laigwanani wa Kimasai na Laigwanan Ole Masinga, jana Machi 17, 2014



Mbunge wa Jimbo la Longido, Mhe. Lekule Laizer akiwasalimia Wana Chalinze



Mgombea wa kiti cha ubunge jimbo la Chalinze akiwapungia mkono watakaopiga kura katika jimbo la Chalinze (Wananchi wa jimbo la chalinze)




Ridhiwani katika Mkutano na Wazee wa Kimasai walipokuwa wakijadilina juu ya swala la Wafugaji wa Chalinze na Pwani kwa Ujumla, jana Machi 17, 2014 kwenye Ukumbi wa Masai, Chalinze



Ridhiwani akiwa katika Mkutano na Wazee wa Kimasai walipokuwa wakijadilina juu ya swala la Wafugaji wa Chalinze na Pwani kwa Ujumla, jana Machi 17, 2014 kwenye Ukumbi wa Masai, Chalinze.



Mbunge wa Jimbo la Simanjiro, Mhe. Christopher Ole Sendeka akiwaomba Wananchi wa Lugoba ,Jimbo la Chalinze kutofanya makosa kwenye Uchaguzi Mdogo ndani ya Jimbo lao na wampigie kura mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo wa jimbo hilo. Sendeka aliyasema hayo jana Machi 17, 2014 katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Sokoni wakati alipopita kuwasalimia Wanachalinze



Habari na picha kwa hisani ya mtandao wa www.wavuti.com







































































Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.