Mvua zilizoanza kunyesha juzi usiku na kuenelea jana na leo asubuhi
jijini Dar es Salaam zimesababisha adha katika makazi ya watu hasa
wanaoishi katika maeneo ya mabondeni na watumiaji wa barabara kutokana
na miti kuanguka na kuziba njia huku maji yakijaa barabarani na
kusababisha ugumu kwa vyombo vya moto kupita, kama inavyoonekana kwenye
video na picha zifuatazo kutoka kwa wadau...
|
Dar es Salaam, asubuhi ya Ijumaa, Machi 28, 2014 |
|
Dar es Salaam, asubuhi ya Ijumaa, Machi 28, 2014 |
|
Dar es Salaam, asubuhi ya Ijumaa, Machi 28, 2014 |
|
Add caption |
|
Dar es Salaam, asubuhi ya Ijumaa, Machi 28, 2014 |
|
Wakazi wa eneo la
Jangwani wakiokota plastiki na chupa vilivyotawanywa na mvua kali
zinazoendelea nchini kama walivyokutwa na kamera yetu jana asubuhi. (picha: Imma Matukio blog |
|
Wakazi wa Jangwani karibu na uwanja wa klabu ya Yanga wakiwa wamekaa juu
ya paa la nyumba kukwepa mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa
zinazoendelea. (picha: Imma Matukio blog) |
|
Mti ukiwa ulioanguka usiku wa kuamkia jana na kuziba barabara ya
Kinondoni, Makaburini jijini Dar es Salaam na kusababisha msongamano wa
magari. (picha: Francis Dande) |
Chanzo cha habari na picha www.wavuti.com
Post a Comment