Mshindi mara nne wa tuzo ya mchezaji bora wa Dunia, Lionel Messi anategemewa wakati wowote kusaini mkataba mpya ambapo unatazamiwa kuwa mnono zaidi ya huu wa sasa na pia mnene kuliko wa wachezaji wanaolipwa zaidi kwa sasa duniani, Cristiano Ronaldo wa Real Madrid na Wayne Rooney wa Manchester united.

Messi ambaye kwa sasa makataba wake unatazamiwa kuisha mnamo mwaka 2018, na anatazamiwa kusaini mkataba mpya wakati wowote kulingana na mazungumzo yanaondelea kwa hivi sasa, kama ilivyodhibitishwa na Raisi wa klabu ya Barcelona, Josep Maria Bartomeualiposema mazungumzo yamefikia hatua nzuri dhidi ya baba mzazi wa mchezaji huo na wakala wake Jorge Horacio.

Lionel Messi after scoring during El Clasico



Barcelona president Josep Maria Bartomeu
Raisi wa timu ya Barcelona, Josep Maria Bartomeu



































Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.