Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo, Godlove Nnko akiwakilisha mada yake wakati wa kikao cha kamati Elimu Afya na Maji ya Halmashauri ya Wilaya ya Gairo, lengo la kikao hicho ni kujadili rasimu ya sheria ndogo na hati rasmi ya uanzishwaji wa mfuko wa afya ya jamii (CHF) katika Halmashauri ya Wilaya Gairo ( kushoto), Diwani kata ya Chanjale pia Mwenyekiti wa Elimu ya Afya ya Jamii Marima Maiko, kikao hicho kimefanyika Machi 26, 2014 katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya Gairo.

Afisa Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Gabriel Gregory  akichangia mada katika kikao hicho

Wajumbe wa kamati ya Elimu Afya na Maji wakifuatilia mada mbalimbali wakati wa kikao cha kujadili rasimu ya sheria ndogo na hati rasmi ya uanzishwaji wa mfuko wa afya ya jamii (CHF) katika Halmashauri ya Wilaya Gairo

Mjumbe akitaka kusisitiza jambo kwa kunyoosha kidole

Kaimu Mkurugenzi Idara ya Huduma  za Sheria Tamisemi,Triphonia Kisiga (katikati), Mwanasheria Halmashauri ya Wilaya ya  Gairo Bw.Tumsime Kiliba (kushoto), na Mwanasheria kutoka Wizara ya Afya Bw.Metta Nahonyo. wakijadiliana jambo wakati wa kikao hicho.

Wajumbe wa kamati ya Elimu Afya na Maji wakifuatilia ratiba katika ubao wa matangazo nje ya ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya  Gairo kabla ya kuanza kwa kikao hicho

Mwanasheria Halmashauri ya Wilaya ya  Gairo Bw.Tumsime Kiliba (kushoto), Afisa Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF),  Gabriel Gregory  (katikati), wakijadiliana jambo nje ya ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo baada ya mapumziko (watatu), Mwanasheria kutoka Wizara ya Afya Bw.Metta Nahonyo.

Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.