February 2015


• Mwanzilishi wa Obi Mobiles na Mkurugenzi Mtendaji wa zamani Apple, John Sculley aahidi utendaji wenye tija katika vifaa vya simu za mkononi chini ya nembo ya Obi nchini.
• Kampuni ya Obi Mobiles inalenga kuongeza mauzo kupitia mpango mkakati unaowalenga vijana na walaji wengine
•kupitia aina mbalimbali ya simu ambayo itakuza upatikanaji wa mtandao na kufanya Tanzania moja ya nchi bora katika upatikanaji wa teknolojia ya mawasiliano.

Tanzania: Februari 24, 2015 - Obi Mobiles, Simu yenye teknolojia mpya na nembo ya Mwanzilishi na Mkongwe katika mambo ya Masoko na Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa Apple, John Sculley, ni mbia mpya katika kampuni ya Inflexionpoint yenye makao makuu Sculley’s Toronto, Nembo hii mpya ya kampuni ilifanya uzinduzi wake mkubwa nchini India na Mashariki ya Kati mwaka 2014. 
 
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Obi Mobiles, Bw Amit Rupchandani (kati kati) wakionyesha simu mpya aina ya Obi Mobiles kwenye uzinduzi rasmi wa simu hizo jijini Dar es Salaam hivi karibuni, Kulia ni Farouk Jivani kutoka kampuni ya Direct Specialist na Kushoto ni Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Obi Mobiles, Yusuf  Kamal Khan
Walengwa wakubwa katika kampuni hii ni vijana na watu wanaokwenda na wakati wa matumizi ya simu za mkononi, Simu na vifaa vya Obi vimepokelewa kwa hamasa kubwa katika masoko na simu ina matumaini wataendelea kupata wateja wengi siku za usoni.

Kampuni ya Obi Mobiles ilizindua aina saba za simu mbalimbali kwa ajili ya soko la Tanzania. Aina hizo za simu ni kama vile Hornbill S551 kwa TSh 350,000, Falcon S451 TSh 290,000, Crane S550 TSh 270,000, Wolverine S501 TSh220,000, Fox S453 TSh160,000, Racoon S401 TSh 130,000 na Power GO F240 – simu yenye uwezo mkubwa na vipengele mbalimbali 2,800mAH betri, na ina Power Bank (chaji benki) yenye uwezo wa kuchaji simu nyingine TSh 50,000.

Imani ya msingi katika kampuni ya Obi Mobiles ni kwamba teknolojia ni kitu cha lazima kwa kila mtu na uunganishwaji ni fursa ya kufungua mianya ya nafasi za biashara na kusaidia kukua kiuchumi na maendeleo ya kijamii kwa taifa husika. Maono ya John Sculley ni kuhakikisha kwamba teknolojia isiwe kikwazo kwa mtu yeyote kupata kutokana na matatizo ya kimtandao au vikwazo vyovyote ambavyo vitasababisha watu wengi zaidi kukosa fursa hii.
Smartphones mpya za Android zilizozinduliwa na Obi Mobiles hutoa huduma bora zaidi na teknolojia ya hali ya juu na kwa mantiki hiyo kutoa fursa kwa watumiaji wa Tanzania kuwa katika nafasi nzuri zaidi ya kufurahi intaneti kupitia uzinduzi wa simu hizo saba tofauti tofauti, uzinduzi rasmi wa simu hii kutoka kampuni ya Obi ni Mwezi Machi tarehe 7.

Akizungumza juu ya mkakati wa kampuni hiyo Afrika, Mkurugenzi Mtendaji wa Obi Mobiles MENA, Amit Rupchandani, alisema: "Wateja wanaongezeka kwa kuangalia jinsi ya kuboresha matumizi ya simu zao za mkononi kutoka katika simu za zamani kwenda kwenye simu za (smartphones). Hata hivyo, gharama kubwa za uwekezaji katika vifaa ya simu hizi mpya- na umri wa simu hizi mpya na matamanio ya wanunuzi wapya ni wakati mwafaka kwa kampuni ya Obi Mobiles, ambao tunaamini kutia alama ya vema katika box hili jipya katika maswala ya ubora wa simu, bei ili kuweza kuwafikia kila aina ya mteja katika soko ili kuongeza thamani katika soko la simu bara la Afrika,”

Kuhusu Obi Mobiles:
Makao  Makuu yake ni Singapore, Obi Mobiles ni aina mpya ya simu za kusisimua inasimamiwa na kampuni ya Inflexionpoint, Toronto, Ni kampuni ya kimataifa ya uwekezaji na inajishughulisha na kusambaza vifaa vyote vya Teknolojia na Mawasiliano na Mwazilishi ni John Sculley, Mkurugenzi Mtendaji wa zamani katika Apple Inc na Pepsi. Ilizinduliwa kwa mara ya kwanza nchini India mwezi Aprili mwaka 2014, na ina karibia kufanya uzinduzi mkubwa kabisa na kupanua shughuli zake Mashariki ya Kati katika nchini za Falme za Kiarabu (UAE), Obi inalenga kukua uwepo wake kwa njia ya masoko na mauzo inaendeshwa kwa mbinu mbalimbali  na walengwa wakubwa ni vijana na wateja wa kati.
mwisho

Shujaaz Banner DJ Tee (19) ni kijana mwenye ndoto kubwa katika maisha yake. Baada ya kuona mahangaiko ya vijana kuelekea kwenye mafanikio, wengi wakiwa wamemaliza shule na vyuo bila kupata kazi, ameamua kuunda redio stesheni ghetoni kwake aliyoipa jina la Shujaaz, ili aweze kushea ideas na vijana wote nchini Tanzania kuhusu mbinu mbalimbali za kuingiza pesa, kuwapa stori za vijana wanaochakarika katika maisha yao pamoja na kuwaburudisha.

"Nimeamua kuiita Shujaaz kwa sababu, naamini kuwa kijana ambaye anajituma na kuweka mfano bora kwenye jamii ni shujaa". Alisema DJ Tee. "Ndoto zangu zinakaribia kuwa kweli".
Story ya kijana huyu inapatikana kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi kupitia kijarida cha Shujaaz, kitakachokuwa kinasambazwa kupitia gazeti la Mwanaspoti, kuanzia JUMAMOSI HII ya tarehe 28. Kwenye kijarida hicho, utapata ideas mbali mbali ambazo vijana wanaweza kuzifuata na kujiingizia kipato. Pia, kutakuwa na stori za vijana wengine kama Pendo, Semeni na Pepe ambao ni mashabiki wakubwa wa DJ Tee na redio show yake ya Shujaaz.

DJ Tee akiwa studio
DJ Tee akiwa studio.
Kijana huyu ameamua kujiita DJ Tee ili asijulikane na watu wake wa karibu, kwa kuwa ana-hack airwaves za redio stesheni ili aweze kusikika. Sikiliza redio stesheni uipendayo kuanzia wiki ijayo, huwezi jua, inawezekana DJ Tee akawa hewani!

Wewe pia USIKOSE kuwa sehemu ya mafanikio na harakati za kijana huyu kwa kujiunga naye. Pata nakala yako ya Shujaaz kuanzia Jumamosi hii (28/02/2015) kupitia gazeti la Mwanaspoti. Pia, jiunge naye kwenye ukurasa wake wa Facebook kwa jina DJTee255 ili upige naye story na wewe uweze kushea idea zako za hustle. Unaweza pia ukampata Instagram na Twitter kwa jina @djtee255

Studio
Studio.

300 x 150m

Hatimaye ule mpango mzima wa kuzifungulia burudani ulioasisiwa na redio mpya ya jijini Mwanza JEMBE FM na kubatizwa jina 'JEMBEKA' unaanza rasmi jumamosi ya wiki hii tarehe 21/02/2015 ndani ya kiota cha burudani cha kitalii Jembe Beach Mwanza.
Burudani itakayo fungua mpango huo wa 'JEMBEKA' ni kutoka kwa kundi maarufu Afrika Mashariki lililovuka mipaka na sasa muziki wake kuchezwa hadi barani Ulaya kundi la Sauti Sol toka nchini Kenya ambao watapiga muziki LIVE.
Vijana wa Nyumbani JJ Band nao watakuwepo ndani ya Jembe Beach Resort kwaajili ya kumwaga burudani ya kijanja zaidi ya vile ulivyowazoea.
Kiingilio ni shilingi 10,000/= kwa tiketi za awali na Tshs 15,000/= ukinunua getini.
Tiketi zinapatikana ofisi za Jembe Fm zilizopo PPF Plaza Mwanza. 
Ni chini ya udhamini wa K Vant Gin, Coca cola, ikiwezeshwa na Jembe ni Jembe, Jembe Fm, Jembe Djz na G.SENGO BLOG.

Binti mwenye sauti ya kumtoa Nyoka pangoni, Ashura Kitenge akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar es Salaam Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti na Meneja wa Skylight Band, Aneth Kushaba AK47 pamoja na Kisura mwingine wa Skylight Band anayefamika kwa jina la Baby.
Tukutane baadae tupunguze stress za wiki nzima kwa burudani iliyoenda shule na sehemu ya watu wastaarabu kama kawaida na mtonyo wetu ule ule getini.

Msanii wa Skylight Band Joniko akiendelea kutoa burudani huku vijana wa Skylight Band wakitimua vumbi jukwaani wakiongozwa na Sony Masamba ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar 

 
Binti mwenye sauti ya kumtoa Nyoka pangoni, Ashura Kitenge akiimba kwa hisia kali mbele ya mashabiki wa Skylight Band(hawapo pichani) ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar 
 
Meneja wa Skylight Band, Aneth Kushaba AK47 akiimba uku akipewa support ya nguvu na Binti mwenye sauti ya kumtoa Nyoka pangoni, Ashura Kitenge( wa kwanza kushoto), Sam Mapenzi (wa pili kutoka kulia) pamoja na John Music ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar 

Sony Masamba akiendelea kuimba masebene ya nguvu huku akipewa support na Majembe ya Skylight Band yaliyojimwaga kwenye stage

Meneja wa Skylight Band, Aneth Kushaba AK47 akiimba kwa hisia kali wakati akitoa burudani kwa mashabiki wa bendi hiyo (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar

Waimbaji wa Skylight Band yakijimwaga na sebene jukwaani kwenye show za bendi hiyo zinazofanyika kila Ijumaa ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar.

Msanii wa Skylight Band John Music akitoa burudani ya nguvu ndani ya kiota cha Thai Village Ijumaa iliyopita.

Idrisa Drums akifanya yake.

 
Msanii wa Skylight Band Joniko (wa kwanza kushoto) akiendelea kutoa burudani akisaidiwa na John Music(wa kwanza kulia) pamoja na Ashura Kitenge pamoja na Baby.

Ulifika muda wa sugua sugua mpaka utakate ........ilikuwa noma sanaaaaa!!!!!
 
DSC_0141
DSC_0148
Mashabiki wa Skylight Band wakijiachia kwa raha zao ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar.

PROGRAMME MANAGER
NGO, Morogoro, Tanzania
Ref
13755
Feb
3
Our client is seeking for a Programme Manager to join their senior management team . The ideal candidate will be developing a network of appropriate partner organisations; accurate monitoring and evaluation of our work; technical support and capacity building; and fund raising. The main focus is on providing access to safe water and sanitation, protecting vulnerable environments and building resilient communities.

Reporting Structure

Reporting To
Country Director
Supervision Of

Interacts With
Staff


Job Description
  1. Support Country Director in strategy operationalization with due emphasis on feasibility, sustainability, quality and financial viability
  2. Support Country Director in raising visibility and presenting programmes to donors, partners, governments, peers, and experts at all levels in Tanzania and support beneficial institutional linkages
  3. Lead writing and submission of quality funding proposals and bids, and their negotiation
  4. As a senior staff member, contribute to the management, motivation, facilitation and support of the personal development and performance.
  5. Ensure narrative and finance report meets the NGO standards and donor quality as well as other global operational requirements.
  6. Ensure quality monitoring and evaluation of a defined programme portfolio in coordination with Country Programme Leader/s, Country Director and Head Office M&E Manager
  7. Liaise between the Head Office and Tanzania team to ensure that team members are familiar with procedures and the compliant mechanism with agreed approaches
  8. Attend regular organisational meetings and contribute to the overall smooth operation
  9. Undertake other tasks and projects as requested by the Country Director

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.