Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu akizungumza na waandishi wa habari juu ya sherehe ya siku ya sheria Zanzibar ambayo itaadhimishwa tarehe 10 Februari 2014.  Mkutano huo ulifanyika  Ofisini kwake Vuga, Mjini Zanzibar
Mwandishi wa habari wa Idara ya Habari Maelezo Ramadhani Ali akimuuliza swali Jaji Mkuu wa Zanzibar (hayupo pichani)  wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari.
Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu akitoa ufafunuzi wa jambo wakati wa mazungumzo yake na waandishi wa habari yaliyofanyika ofisini kwake Vuga mjini Zanzibar.
Baadhi ya watendaji wa Mahakama ya Vuga mjini Zanzibar na waandishi wa habari wakimsikiliza Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu (hayupo pichani) wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika ofisini kwake Vuga, Mjini Zanzibar leo.


Picha na Makame Mshenga wa Maelezo Zanzibar
Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.