December 2016

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Mushi (kushoto) akimkabidhi mmoja wa watoto wa kituo cha yatima 'Yatima Group Trust Fund Mbagala Chamazi mfuko wa unga, . TTCL imekabidhi msaada wa bidhaa mbalimbali vikiwemo mchele, sukari, mafuta ya kupikia, soda, maji ya kunywa na mbuzi kwa ajili ya sherehe za Siku Kuu ya Chrismass. Wa kwanza kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa  Kituo cha Yatima Group Trust Fund Mbagala Chamazi.


Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Mushi (wa pili kushoto) akimkabidhi mbuzi Mkurugenzi Msaidizi wa  Kituo cha Yatima Group Trust Fund Mbagala Chamazi. TTCL imekabidhi msaada wa bidhaa mbalimbali vikiwemo mchele, sukari, mafuta ya kupikia, soda, maji ya kunywa na mbuzi kwa ajili ya sherehe za Siku Kuu ya Chrismass. 


Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Mushi (wa tatu kulia) akimkabidhi mmoja wa watoto wa kituo cha watoto yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi cha Kimara SUCA maji ikiwa ni moja ya bidhaa zilizotolewa. TTCL imekabidhi msaada wa bidhaa mbalimbali vikiwemo mchele, sukari, mafuta ya kupikia, soda, maji ya kunywa na mbuzi kwa ajili ya sherehe za Siku Kuu ya Chrismass. 


Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Mushi (kushoto) akimkabidhi mfuko wa unga Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha watoto yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi cha Kimara SUCA, Evans Tegete ikiwa ni baadhi ya msaada uliotolewa na kampuni hiyo. TTCL imekabidhi msaada wa bidhaa mbalimbali vikiwemo mchele, sukari, mafuta ya kupikia, soda, maji ya kunywa na mbuzi kwa ajili ya sherehe za Siku Kuu ya Chrismass. 


Picha ya pamoja ya baadhi ya watoto kutoka vituo vyote vilivyosaidiwa na viongozi wao. 


Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Mushi (wa pili kushoto) akimkabidhi mbuzi mmoja wa watoto wa kituo cha watoto yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi cha Kimara SUCA. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo hicho, Evans Tegete.


Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Mushi (kushoto) akimkabidhi mmoja wa watoto wa kituo cha yatima 'Yatima Group Trust Fund Mbagala Chamazi sehemu ya msaada uliotolewa na kampuni ya TTCL kwa ajili ya sherehe za Siku Kuu ya Chrismass. 


Picha ya pamoja baada ya shughuli ya kukabidhi misaada hiyo.


Baadhi ya watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu wakibeba sehemu ya misaada waliyokabidhiwa na TTCL.


Wafanyakazi wa Aggrey&Clifford wakiwasili katika kituo cha Sadeline 

Mkurugenzi wa Uendeshaji wa kampuni ya Aggrey&Clifford,Cobus van Zly (kulia) na Mkurugenzi wa huduma za Matangazo,Oliver Mutere (katikati) wakikabidhi baadhi ya zawadi kwa watoto wenye mazingira magumu kwenye kituo cha Sadeline kilichopo Mbezi Juu wilayani Kinondoni kwa Msimamizi wa kituo hicho,Sarah Kitainda wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo walipotembelea kituo hicho na kutoa zawadi na kucheza na watoto hao mwishoni mwa wiki. 

Mmoja wa watoto wanaolelewa katika kituo cha watoto wenye mazingira magumu cha Sadeline kilichopo Mbezi Juu wilayani Kinondoni,Benedicto Mutayoba akipokea zawadi kutoka kwa mfanyakazi wa kampuni ya Aggrey&Clifford,Martin Kirangu wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo walipotembelea kituo hicho na kutoa zawadi kwa watoto na kucheza nao mwishoni mwa wiki,aliyembeba ni mama wa mtoto huyo,Grace Thomas. Mmoja wa watoto wanaolelewa katika kituo cha watoto wenye mazingira magumu cha Sadeline kilichopo Mbezi Juu wilayani Kinondoni,Maulid Rajab akipokea zawadi kutoka kwa mfanyakazi wa kampuni ya Aggrey&Clifford,Ndeshi Rajab 

Mfanyakazi wa kampuni ya Aggrey&Clifford,Nia van Aswegen (kulia) akiwapatia zawadi watoto Mmoja wa watoto wanaolelewa katika kituo cha watoto wenye mazingira magumu cha Sadeline Mfanyakazi wa kampuni ya Aggrey& Clifford, John Alexander akimkabidhi msaada wa mfuko wa vyakula mmoja wa watoto wanaolelewa katika kituo cha Sadeline. 

Wafanyakazi wa Aggrey&Clifford wakiwa wamewabeba baadhi ya watoto wanaolelewa katika kituo cha Sadeline 

Mfanyakazi wa Aggrey&Clifford,Nadah Dhiyebi akicheza na watoto wa kituo cha Sadeline Aggrey&Clifford yasaidia watoto wenye mazingira magumu --- 

Kampuni ya matangazo na ukuzaji wa masoko ya Aggrey&Clifford mwishoni mwa wiki imetoa msaada wa vitu mbalimbali kwa watoto wenye mazingira magumu kituo cha Sadeline kata ya Mbezi Juu ambapo pia baadhi ya wafanyakazi wake walishiriki kucheza na watoto hao kwa ajili ya kuwapatia faraja katika msimu huu wa sikukuu. Akiongea wakati wa hafla hiyo Mkurugenzi wa kitengo cha Matangazo ya Biashara wa Aggrey&Clifford,Oliver Mutere, alisema kuwa msaada huo wa nguo na chakula na vifaa vya kusomea ni kwa ajili ya kuwapatia faraja watoto hao wanaoishi katika mazingira magumu. “Moja ya sera ya kampuni yetu ni kusaidia shughuli za kijamii ikiwemo kuunga mkono jitihada za serikali za kukabiliana na changamoto mbalimbali zilizopo kwenye jamii ndio maana katika kipindi hiki tumeonelea kuna umuhimu wa kusaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu katika kata hii ya Mbezi Juu”.Alisema. 

Mutere alisema mbali na kutoa msaada wafanyakazi wa Aggrey&Clifford wamekuwa na utaratibu wa kujitoa na kutoa muda wao kwa ajili ya kusaidia kazi za kijamii “Kutokana na sera hii baadhi ya zawadi hizi zilizotolewa zimetokana na michango ya wafanyakazi”. Mratibu wa kituo cha watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu cha Sadeline ,Sarah Kitainda,alishukuru kwa msaada huo ambao alidai kuwa umeleta faraja kwa watoto hao hususani katika kipindi hiki cha msimu wa sikukuu ya Krismas na mwaka mpya. “Kwa niaba ya kituo hiki natoa shukrani kwa kampuni ya Aggrey&Clifford kwa kuwakumbuka watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu wa kata hii ya Mbezi na ni matumaini yangu kuwa mtazidi kushirikiana nasi kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazotukabili kuwalea watoto hawa katika siku za usoni.

Shirika la Umoja wa Matifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limefanya uzinduzi wa kozi ya maadili kwa walimu ambao wanafundisha vyuo vya afya na sayansi kutoka ndani na nje ya nchi. Akizungumza katika ufunguzi wa kozi hiyo, Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa UNESCO, Zulmira Rodrigues alisema UNESCO imeandaa kozi hiyo ili kuwajengea uwezo kuhusu maadili mema ya kazi walimu hao ili hata wanafunzi wanaowafundisha wawe na maadili mema sasa na hata baada ya kuhitimu masomo yao. 


Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa UNESCO, Zulmira Rodrigues akitoa neno la ufunguzi katika kozi ya siku nne kwwa walimu wa vyuo vya afya wa ndani na nje ya nchi.

"Kwenu wanufaika wa kozi hii ambao itafanyika kwa siku nne, ni matumaini yangu kozi hii ya siku nne itatumika kikamilifu katika maisha yenu ya kila siku, ikiwa kama ni mkufunzi, mwanafunzi au katika tafiti zenu za kisayansi, na utakuwa balozi wa UNESCO kwa kusambaza elimu kwa wengine, "Jambo la muhimu ni kujenga uelewa ili kuhakikisha kama nchi inapambana na changamoto kubwa za kimaadili ambazo zinaikabili kwa sasa na baadae. UNESCO itaendelea kushirikiana na Muhimbili na wadau wengine wa ajili ya kusaidia Tanzania," alisema Zulmira. 
Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa UNESCO, Zulmira Rodrigues akizungumza na washiriki wa kozi ya maadili kwa walimu wa vyuo vya afya.

Kwa upande wa Makamu wa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi cha Muhimbili, Prof. Ephata Kaaya alisema mafunzo hayo ni muhimu kwa walimu hao na kuwahakikishia kuwa kila mshiriki hataondoka bure kwani watapewa mafunzo na wakufunzi wenye uwezo mkubwa. "Niwahakikishie washiriki wote wa kozi hii ambao mnatoka ndani na nje ya nchi kuwa mafunzo haya yatawaongezea uelewa kuhusu maadili mema, hili tatizo sio la Tanzania pekee hata Rwanda, Burundi, Kenya, Uganda wote wanakabiliwa na hili tatizo kama ilivyo kwetu," alisema Prof. Kaaya
Makamu wa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi cha Muhimbili, Prof. Ephata Kaaya akizungumza kuhusu kozi ya maadili kwa walimu wa vyuo vya afya na kuahidi kuwa mafunzo hayo yatakuwa bora na ambayo yatakuwa msaada mkubwa kwao.

Aidha Prof. Kaaya aliishukuru UNESCO kwa kutoa mafunzo hayo na kuwaomba kuendeleza ushirikiano uliopo kati yao. 
Baadhi ya washiriki wa kozi ya maadili ya siku nne iliyoandaliwa na UNESCO.

Washiriki wakiwa katika picha ya pamoja.

Mtoto wa mfalme, Prince Harry ameonekana akiwa ameambata na mpenzi wake mrembo Meghan Markle kwa mara ya kwanza mtaa ulio na harakati nyingi sana za kibiashara duniani wa Shaftesbury Avenue wakiwa wanaelekea kwenda kwenye maonyesho ya West End show Peter Pan Goes Wrong.
 Prince Harry and Meghan Markle are pictured together for the first time in London
Kwa taarfia zilizoko ni kwamba Prince Harry amekuwa kwenye mahusiano na nyota huyu wa mchezo wa Suits kwa takribani mienzi mitano ila ilikuwa ni siri sana hadi hapo jana waliponekana hadharani wakiwa pamoja .
Meghan has been staying with Harry at his two-bedroom Nottingham Cottage
Muigizaji, Meghan Markel

Inavyodaiwa ni kwa mrembo huyo Meghani mwenye makazi yake Canada alisafiri alfariji ya Jumatatu kuja nchini Uingereza kuungana na mpenzi wake katika maandalizi ya sikukuu ya krismasi.

Habari hii imetafririwa kutoka gazeti la the sun  https://www.thesun.co.uk

VYOMBO VYA HABARI

Kuendesha gari katika msimu huu wa sikukuu
 Image result for uber taxi
Uber huendesha modeli fanisi inayoitwa bei hai, ambayo huwawezesha watumiaji kupata gari wakati wanaihitaji sana - hasa wakati wa siku za mwaka zenye shughuli nyingi, kama vile Siku ya Kuamkia Mwaka Mpya au baada ya hafla kubwa ya michezo

DAR ES SALAAM, Tanzania, Desemba 13, 2016/ -- Msimu wa sikukuu ukianza nchini Tanzania, tunakabiliana na changamoto ya mwaka: tutawezaje kufika nyumbani sikukuu zikiisha? Ijapokuwa ni rahisi sana kuwajibika, watu wengi bado huendesha magari wakiwa wamelewa. Tumeshughulikia mambo msingi ya kusafiri katika msimu huu wa sikukuu, ili daima uweze kufanya maamuzi salama.  

Panga mapema
Je, unafikiria kinywaji chako cha baada ya kazini kinaweza kujumuisha glasi nyingine zaidi kuliko ulivyotarajia? Panga mapema na utumie Uber (www.Uber.com) kwenda kazini. Unaweza hata kupanga safari yako mapema ili usiwe na wasiwasi kuhusu kutatiza sikukuu zako hadi dereva wako awasili. Au, kama sherehe itakupata kwa ghafla, tumia Uber kwenda nyumbani, acha gari lako ofisini na ulichukue wikendi. Wakati hatua hii inaweza kuonekana kama kazi ya ziada mara ya kwanza, ni bei nafuu ikilinganishwa na kuhatarisha usalama wako na usalama wa wengine kwa kunywa na kuendesha gari.

Jua kuwa utapata dereva, hata wakati kuna shughuli nyingi
Katika misimu ya likizo, mara kwa mara kuna wasiwasi kuwa hakutakuwa na madereva wa kutosha. Hiyo si uongo lakini kwa kuwa jukwaa la Uber linaendelea kukua na kubadilika, Uber huendesha modeli fanisi inayoitwa bei hai, ambayo huwawezesha watumiaji kupata gari wakati wanaihitaji sana - hasa wakati wa siku za mwaka zenye shughuli nyingi, kama vile Siku ya Kuamkia Mwaka Mpya au baada ya hafla kubwa ya michezo.

Wakati kuna mahitaji mengi, ni muhimu kuwa kuna madereva wa kutosha kwenye jukwaa hili ili kuwahudumia wale wanaotafuta gari. Kwa sababu hii, Uber huongeza nauli ili kuwahimiza madereva zaidi kuja kwenye jukwaa hili.

Hesabu ya bei hai huongeza bei kiotomatiki ili kuwahimiza madereva zaidi kuja kwenye jukwaa hili na kushughulikia mahitaji haya. Wakati mahitaji na ugavi umesawazishwa, bei hurejea kawaida kwa haraka. Utajua wakati bei hai inatumika, kwa sababu utaarifiwa kuanzia wakati unapofungua app, na kukumbushwa unapokuwa ukiomba safari yako. Bei hai uhakikisha kuna magari yanayopatikana wakati wowote unapofungua app hiyo.

Vipengele vya usalama
Tumejitolea kwa usalama na tunataka kila mmoja kuwa na imani kuwa Uber ni chaguo thabiti msimu huu wa sikukuu.Teknolojia yetu huifanya iwe rahisi kufanya maboresho ya usalama ambayo hayakuwa hapo awali kabla ya Uber. Wakati dereva anapokubali ombi lako, unaweza kuona jina lake la kwanza, picha, na nambari ya leseni ya gari. Magari yote hufuatiliwa kwa kutumia GPS na unaweza kushiriki Muda Unaokadiria Kuwasili hivyo kuwawezesha wapendwa wako kuona safari yako kwa wakati halisi (hata kama hawana app ya Uber).

Pesa ziko salama
Je, huna kadi? Hakuna shida! Unaweza bado kusafiri na sisi na ulipe kwa pesa taslimu. Chagua tu chaguo la PESA TASLIMU, safiri na ulipe nauli moja kwa moja kwa dereva wako mwisho wa safari. Safari zote za Uber zinafuatiliwa kwa kutumia GPS na tunajua eneo lako katika kila safari ili kuhakikisha usalama wa wahusika wote. Tumewahimiza pia kuweka pesa kwenye benki mara kwa mara na kubakia na hela kidogo kama iwezekanavyo (pesa za kulipia mafuta na kununua bidhaa). Hadi sasa hatujaona ongezeko lolote la uhalifu katika nchi zinazoendesha chaguo za malipo ya pesa taslimu.

Je, unahitaji msaada? Tuko hapa kila wakati kwa ajili yako
Tunajua kwamba kuna wakati unahitaji kuwasiliana: pochi ilisalia ndani ya gari, au pengine nauli si sahihi. Sasa, kuwasiliana ni rahisi kama kutumia jukwaa letu. Tumeunda mtandao mkubwa wa vituo vya usaidizi ili kutoa usaidizi 24/7. Kitendaji chetu cha Msaada ambacho ni rahisi kutumia ndani ya app hujibu maswali yako yote. Bofya tu "Msaada" na maelezo yote unayohitaji yako hapo.

Furahia, bila kuwa na wasiwasi kuhusu safari yako
Licha ya haya yote, msimu wa likizo ni wakati wa kuwa bila mawazo. Unahusu kushughulikia mambo machache ili uweze kufurahia. Kwa kunufaika na chaguo za kushiriki gari, hustahili kuwa na wasiwasi kuhusu kuegesha gari, kumpa dereva bakshishi (madereva wetu hubaki na kiasi kikubwa cha nauli), 'kuzidisha kikomo' au jinsi utakavyofika nyumbani. Wakati huduma hii inafurahisha, rahisi, na inapatikana hivi, hakuna sababu ya kutochagua kuwajibika.   
Kusambazwa na APO kwa niaba ya Uber.

Kwa maelezo zaidi:
Samantha Allenberg
Uber Communications Africa
Tel: +27 82 453 7495
Email: Samantha.Allenberg@Uber.com

Jessica Gois - Jenni Newman
Public Relations (Uber South Africa - PR Agency)
Tel: + 27 (0) 82 777 5427
Email: Jessica@JNPR.co.za 
Mitandao ya Kijamii:
Twitter: @UberNigeria | Facebook: /UberNigeria | Instagram: @UberNigeria

Kuhusu Uber:
Lengo mahususi la Uber ni kusaidia watu kupata usafiri kwa kubonyeza kitufe tu – mahali popote na kwa kila mtu. Tulianza mwaka 2009 kwa kutatua tatizo dogo – ni kwa jinsi gani unaweza kupata usafiri kwa kubonyeza kitufe? Baada ya miaka sita na zaidi ya bilioni ya safari fupi, tumeanza kutatua hata matatizo makubwa: kupunguza mrundikano na uchafuzi wa mazingira katika miji yetu kwa kubeba watu wengi kwa kutumia magari machache.
Mtandao wa Uber kwa sasa unapatika kwenye nchi zaidi ya 75 ndani ya mabara 6 na zaidi ya miji 475. Kuomba usafiri, watumiaji wanapaswa kupakua app (ni bure) kwa ajili ya Android, iPhone, Blackberry 7, au kujiunga kupitia tovuti ya www.Uber.com/go. Kwa taarifa zaidi na maswali tembelea tovuti yetu: www.Uber.com.
CHANZO
Uber
Maudhui multimedia

KIM Kardashian is planning to file for divorce from husband Kanye West ‘when the time is right’, according to sensational new claims.

The reality star and her husband have been keeping a low profile following his hospitalisation in November  because of a mental breakdown.

Kim Kardashian
New reports claim Kim Kardashian is preparing to file for divorce from troubled husband Kanye West
 
And while Kim has reportedly been doing all she can to help aid the rapper’s recovery, US sources are claiming that the reality star is ‘unhappy’ in the relationship.


According to US Weekly, a friend to the Kardashians claimed: “It will take some time before she can do anything. She doesn’t want to stay married.”

The insider added that Kim won’t make any decisions until Kanye is fully recovered, stating: “She’s being a supportive wife. She cares about Kanye and feels relieved he’s getting the help he needs but she’s felt trapped for a while.”

It has been widely speculated that the couple may be experiencing marital issues after it was claimed that the rapper is living apart from his wife and their two kids – North, three, and Saint, 12 months – as he receives outpatient care following his 10 day stay in UCLA Medical Center.

 Kim Kardashian
US sources claim that Kim feels ‘trapped’ in the marriage but is being a supportive wife as Kanye recovers
Kim Kardashian and husband Kanye are reportedly living apart
Kim Kardashian and husband Kanye are reportedly living apart
The rapper is still recovering following his break down
The rapper is still recovering following his break down 
 
 
Source by www.thesun.co.uk 

Kenya invites African Entrepreneurs to Scale their Ventures
EMRC
AFIF 2017 will take place at the Strathmore University and will gather an audience of entrepreneurs, bankers, investors, fund managers, foundations, development and international finance institutions from Kenya, Africa, Europe, Middle East and America
BRUSSELS, Belgium, December 7, 2016/ -- EMRC (www.EMRC.be) in collaboration with Entrepreneurial Solution Partners and the Strathmore University is announcing a call for action for Entrepreneurs from all over Africa to bring their projects, ideas and running businesses and to discuss them with experts during the 2017 edition of the Africa Finance & Investment Forum (AFIF) (http://APO.af/YUVthk) in vibrant Nairobi.

AFIF 2017 will take place at the Strathmore University and will gather an audience of entrepreneurs, bankers, investors, fund managers, foundations, development and international finance institutions from Kenya, Africa, Europe, Middle East and America.

African Pioneers that want to stand out from the crowd and understand the different financing options are welcome to Nairobi, to participate in the interactive debates, the B2B meetings and the two day pre-Forum training on “Scaling an Entrepreneurial Venture”.

“During the AFIF training session, entrepreneurs will be asked to "begin with why" i.e. going back to the basic question of Why their businesses exist. We will then provide practical guidance that will allow entrepreneurs to unleash the potential of their ventures and realize their business ambitions. We will showcase key elements that make for a strong business proposition along with the main available sources of financing” says Yvette Ingabire, one of the Session expert trainers and Manager at ESPartners.

“Over the past years, where we traveled through different countries in Sub-Saharan Africa with the mission to promote entrepreneurs, connect them to partners and investors, we’ve realized that accessing financing and presenting appealing projects is a major challenge” says Idit Miller, EMRC Managing Director. “That’s why we’ve initiated, among others, the "Africa Finance & Investment Forum" and that’s why a special training session was conceived as part of the AFIF platform along with the 10.000 USD AFIF – Rabobank Entrepreneurship Award” (HERE - http://APO.af/NZ65vl – for Application Form) adds Mrs. Miller.

Entrepreneurship and Innovation will be at the spotlight of the 2017 edition of the “Africa Finance & Investment Forum”. If you want to be part of this unique and exciting platform, you are welcome to the Strathmore University from the 13th to 16th February 2017. A limited number of places is still available for the AFIF pre-Forum training on “Scaling an Entrepreneurial Venture” and interested Entrepreneurs are invited to register at www.EMRC.be. For further information please contact: Ines Bastos, EMRC Brussels: IB@EMRC.be. Tel: 32.2626.1518.
Distributed by APO on behalf of EMRC.

For further information concerning the AFIF 2017 programme, pre-conference training, speaking opportunities and sponsorship, please contact: 
Ines Bastos (Senior Project Manager)
Email: IB@EMRC.be
Tel: +32. 26 26 15 15

Social Media:
Follow us on Twitter (https://Twitter.com/#!/_EMRC_), Facebook (www.Facebook.com/EMRC.International), LinkedIn (www.LinkedIn.com/company/EMRC), YouTube (http://APO.af/cDCWxz) and Flickr (http://Flickr.com/photos/_EMRC_).

About EMRC:
Established in 1992 in Brussels, EMRC (www.EMRC.be) is an international organisation composed of a network of entrepreneurs, financiers, consultants and officials based throughout the world. EMRC's mission is to lead the private sector in Africa to sustainable economic development and to drive regional change through partnerships.

About AFIF:
The Africa Finance & Investment Forum (AFIF) (http://APO.af/YUVthk) is an annual business event organized in the framework of EMRC international activities, aimed at strengthening the private sector in Africa, encouraging entrepreneurship and attracting investment to the African continent. 
SOURCE
EMRC
Share
Twitter |  Facebook |  LinkedIn |  Google+ |  Tumblr |  Reddit |  Pinterest |  StumbleUpon

The Karlstad University Global Masters Scholarship Programme in Sweden, 2017
Karlstad University, Sweden
Application Deadline: February 1, 2017

Apply Now

Hungarian State Scholarships for Foreign Students & Lecturers in Hungary, 2017/18
Hungarian Government
Application Deadline: Jan 30, 2017

Apply Now

European Masters Scholarship in Embedded Computing Systems at University of Kaiserslautern in Germany, 2017
University of Kaiserslautern in Germany
Application Deadline: January 31, 2017

Apply Now

Olympus Global Open Photo Contest, 2017
Olympus
Application Deadline: January 10, 2017

Apply Now

Free Online Course on Readings in Global Health
Harvard University
Course Starts on January 23, 2017

Apply Now

Nanotechnology Online Course by University of Twente
University of Twente
Course starts on February 20, 2017

Apply Now

Chalmers University Adlerbert Study Scholarships for International Students in Sweden, 2017
Chalmers University of Technology, Sweden
Application Deadline: January 15, 2017

Apply Now

10 MSC/MBA International Student Scholarships in Australia, 2017
Curtin University, Australia
Application Deadline: August 25, 2017

Apply Now

16 DTU H.C. Ørsted Fellowships for International Researchers in Denmark, 2017
Technical University of Denmark
Application Deadline: February 23, 2017

Apply Now

Glasgow Caledonian University Scholarships for International Students in UK, 2017
Glasgow Caledonian University, United Kingdom
Application Deadline: June 1, 2017

Apply Now

Free Online Course on Genetics and Society
American Museum of Natural History
Course will start on December 26, 2016

Apply Now

Facebook Core Data Science, PhD/Co-op Internship Program in USA, 2017
Application Deadline Contact Employer
Apply Now

SUT Educational Support Fund for International Students in Australia, 2017-2018
The Society for Underwater Technology (SUT) through its Educational Support Fund
Application Deadline: July 29, 2017

Apply Now

EM INTACT Scholarship Programme for Regional Asia and European Union, 2017
Erasmus Mundus
Application Deadline: December 23, 2016

Apply Now

Peace Revolution MENA Salam Fellowship in Turkey, 2017
Peace Revolution, Turkey
Application Deadline: December 25

Apply Now

Reuters Institute International Fellowships for Mid-Career Journalists in UK, 2017-2018
Thomson Reuters Foundation
Application Deadline: January 31, 2017

Apply Now

World Bank Internship for International Students in USA, 2017
Application Deadline January 31 
Apply Now

Coursera’s Online Course on Microeconomics Principles
University of Illinois
Course Starts on December 26, 2016

Apply Now

University of Essex Vice-Chancellor’s International Scholarships in UK, 2017-2018
University of Essex, United Kingdom
Application Deadline: July 31, 2017

Apply Now

200 Liverpool John Moores University Scholarships for Undergraduate Students in UK, 2017
Liverpool John Moores University, United Kingdom
Application Deadline: May 19, 2017

Apply Now

Canon Collins Thekgo Bursaries for Undergraduate and Postgraduate Students in South Africa, 2017
Canon Collins Educational & Legal Assistance Trust
Application Deadline: December 12, 2016

Apply Now

World Press Photo Contest for Professional Photographers, 2017
The World Press Photo Foundation
Application Deadline: January 6, 2017

Apply Now

University of Sheffield Postgraduate Taught Scholarships for International Students in UK, 2017
University of Sheffield, United Kingdom
Application Deadline: June 16, 2017

Apply Now

University of Portsmouth Scholarships for Ghanaian and Nigerian Students in UK, 2017-2018
University of Portsmouth, United Kingdom
Application Deadline: June 30, 2017

Apply Now

SSMS Scholarships for Pakistani Nationals, 2017
Government of the Punjab, Pakistan
Application Deadline: March 31, 2017

Apply Now

Equity Scholarships Scheme for Domestic or International Students in Australia, 2017
Queensland University of Technology in Australia
Application Deadline: February 6, 2017

Apply Now

United World College Scholarships for Cambodian Students, 2017
United World College (UWC)
Application Deadline: January 1, 2017

Apply Now

Scholarships for Chinese Students at University of Edinburgh in UK, 2017
University of Edinburgh, United Kingdom
Application Deadline: February 1, 2017

Apply Now

PhilFrance Scholarships for Masters Programme in France, 2017-2018
Embassy of France to the Philippines
Application Deadline: April 14, 2017

Apply Now

Wilhelm Frank Trust Master’s and Doctoral Scholarships at University of Cape Town in South Africa, 2017
University of Cape Town, South Africa
Application Deadline: February 28, 2017

Apply Now

Scholarships for Bangladeshi Students at University of Oxford in UK, 2017-2018
St Cross College, United Kingdom
Application Deadline: June 9, 2017

Apply Now

Prime Minister’s ICT Internship Program in Pakistan, 2017
Application Deadline December 31st, 2016
Apply Now
Tags: 2017InternshipPaidPakistan

Bendigo and Adelaide Bank Scholarship for Australian Students, 2017
Application Deadline: January 27, 2017
Apply Now

International Summer Study Scholarship at Washington University in USA, 2017
Washington University in St. Louis (United States of America)
Application Deadline: April 1, 2017

Apply Now

Scholarship for South Korean and US Students at George Washington University in USA , 2017
George Washington University, United States of America
Application Deadline: March 7, 2017

Apply Now

Claude Leon Foundation Postdoctoral Fellowships in South Africa, 2017-2018
The Claude Leon Foundation
Application Deadline: May 31, 2017

Apply Now

APEC Secretariat Internal Communications Internship in Singapore, 2017
Application Deadline December 19, 2016
Apply Now

Fulbright Global Undergraduate Exchange Scholarship Program Malaysia in USA, 2017-2018
Fulbright
Application Deadline: December 31, 2016

Apply Now

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.